hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick up,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!
Unachosema naafiki sana.
Kuna jamaa yangu yuko Arusha ye ni mtafiti wa wanyama mbugani. Mara nyingi anashinda sana mbugani.
Nilimuuliza ana prefer gari gani zaidi porini kwa ubora wa kuhimili mikiki mikiki na nguvu ya gari. Akaniambia akiwekewa Landrover na Cruiser bila kufumba macho atachagua Landrover.
Ni gari tamu, makini yenye ubora sana ingawa ukifanya comparison ya maintenance utagundua Landrover cost yake ya maintenance iko juu compared to LandCruiser.
unajua ukitaka kujua uzuri wa hizi gari muulize alietumia toyota na land rover....ila kiushabikishabiki wengi watasema toyota
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick up,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!
The famous tatizo ni lile la kuchomoka tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi.
Ukafanyaje?
Ukafanyaje?
Ukafanyaje?
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick up,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!
Huwa naonaga defender zina matatizo sana.
Hadi leo sijawahi kuziamini.
Unaweza ukawa sahihi ila sijajua ni Land cruiser ipi unayoizungumzia kwamba itasubiri kwa hizo land rovers ulizozitaja
màtatizo ya defender upande wa nini? engine au four wheel?
kama ni engine mara nyingi hizi defender,pajero,discover gari hizi zote zenye mfumo wa TDI huwa zinaua sana turbo na hivyo husababisha usumbufu sana kwa kifupi gari ndogo na mfumo wa turbo huwa sio mzuri sana
suala hili lipo kiufundi zaidi ila muda wa kukufanulia ni mrefu sana, angalia bei ya range rover na land cruiser v8 alafu uone utofauti hapo nimekupa ufupi tu wa ubora wa range,
land cruiser huwa na tabia ya kuchomoka sweevo bearing lakini ukija kwenye hizi discover hicho kitu hakipo na kikitokea ujue hiyo gari ina miaka mingi sana tofauti na cruiser
masuala ya four wheel land rover walikuwa na special gear ambayo hiyo ndio mkombozi wa kokote pale ukwamako na hii ukitaka kuijua uzuri wake mpaka uitumie milimani na mlima huo uwe wa utelezi na mashimo hapo jombaa lazima uone tofauti ya gari hizi
sababu kubwa ya Jeshi la Polisi na Serikali kwa ujumla kuacha kutumia defender (new model) kwenye ubora ni kwamba zimewasumbua sana na zina gharama kubwa tofauti na Toyota, kama unaongelea 109 au hata 110 hapo sawa hiyo haina mpinzani (kwa Bongo na siyo Ulaya) lkn kwa defender hasa hizi za sasa hapana kwa maana zina electronics nyingi ambazo zinasumbua wakati Hard top kila kitu mechanical, hivyo defender new model kwa Tanzania hazifai ukilinganisha na Toyota, lkn haimaanishi kwamba siyo gari bora ila siyo kwa Tanzania!
Nimeshasafiri nayo tena ya Serikali mpya ac haitoshi kwa jua la Bongo ukifunga madirisha vumbi linapita na unapiga chafya mpaka kesho hivyo kwa TanZania ni bora toyota na ndiyo maana Serikali wamezitosa na nyingi ziko juu ya mawe (New Model lakn siyo 110)!
Umewahi kujaribu JEEP?
The famous tatizo ni lile la kuchomoka tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi.
Mkuu nashukuru kwa Maelezo yako japo bei ya gari haina uhusiano moja kwa moja kwamba ndio zuri ...najua the Almighty Range Rover is the best so far ..ila tukija kwenye hayo matoleo mengine ya Land Rovers binafsi Nita opt land cruiser
5.7 Litre v8 six speed transmission
Body control yake ni nzuri under breaking
Steering ambayo ni light at low speed but weights up as speed rises
Better on the road na pia off-road
Strong v8 engine which deliver a quick acceleration
A 5.7 v8 makes 381 horsepower and 401 pound feet of torque
Ukija kwenye handling and breaking inakua na little body lean na pia
Kinetic dynamic suspension system
Off- roading ni full time 4 wheel drive, multi terrain select.pia ina 8 seats ,heated and ventilanted, power adjustable front seats,heated second row seats ,heated steering wheels
Ignition. Push to start, key
Rear seat DVD
Rearview camera
automatic climate control
Navigation
Satellite radio
Bluetooth, adaptive cruise control
Usb port,HD radio
Front and rear packing sensor s
Six airbags
Mkuu hii gari kwangu ni best off road au on road ,