Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Pathetic, greedy pig!!
Dah
,hapo kwenye Pathetic nimeelewa ila sasa huku kwenye greedy Pig
umefikaje mkuu, unajua hii comment ni ya zamani ila nimecheka balaa.
Nawaza nguruwe mchoyo kakunyima nini
 
WAtu wamekariri, Sema tu atunze na service afanye kwa wakati, asitumie Oil ya Tabata Dampo na filter za buku 5 kule Mtaa wa Kihonda kariakoo:
Check engine itatuliwe fasta, ni gari zuri la kwendea UKWENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…