Watch this,ni documentary ya Dan rather reports katika HDnet,anazungumzia injustices and land grabbing in Tanzania for the name of wawekezaji,this is just one excerpts na ni ducumentary ya more than one hr,so go search for the rest to educate & inform urself hizi land issues,worse ni pale mafisadi wanavyosaidiana bila uwoga na hawa watu kuuza land for 25cents per acre huku waki level vijiji vya watu walivyokaa for more than 50 yrs kwa kuwalipa 200$ na kuwaambia wabomoe nyumba zao,so sad ukiangalia Pinda,masha na iddi Simba wanavyoongea kwa dharau kuhusu hawa wanavijiji...watch!!! Dan Rather Reports, "Trouble on the Land" Excerpt 2 - YouTube