fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,991
- 2,109
Ni gari iliyojijengea heshima duniani kote, hususani Africa kutokana na uwezo wake wakukabili barabara mbovu na korofi, uimara wake na uwezo wa kuishi muda mrefu. Tuachane na hizo sijui Prado, hapa tuongelee Land Cruisers series zote, iwe LX,VX,ZX,GX,GL na zinginezo.
Katika vizazi vyake vyote mpaka sasa, matoleo bora zaidi yanayoshuhudiwa na wengi kuwa aggressive, powerfully na reliable kuwahi kutokea ni L/C series 80 na 100. Binafsi nimeendesha series 70(LX,Hardtop),80 (GX),100(VX) na series 200 (ZX) aka (kilimo kwanza) japo hayakuwa yangu 😀 ila imenifanya nizifahamu vema LC. Inshalaah kama uhai ukiwepo sitoiacha series 100 ile ya diesel. Hayo ni kwa uchache kutoka kwangu, nimeona hatuitendei haki gari hii madhubuti kwa kutokuwa na uzi kama huu ( sijui kama upo) mujarabu kuihusu.
Haya, mwenye ndoto za kumiliki gari hii sema chochote na wale wamiliki leteni utamu wake na shuhuda mbalimbali zinazoihusu ili tuendelee kupata mzuka zaidi wa kufanya kazi na kutimiza ndoto ya kuimiliki.
Land Cruiser Off-road Oriented Models History
1. BJ and FJ (1951–1955)
J20, J30 (1955–1960)
2. J40 (1960–1984)
3. J70 (1984–present)
4. J50 (1967–1980)
5. J60 (1980–1989)
6. J80 (1990–2008)
7. 💪💪J100 (1998–2007)
8. J200 (2007–2021)
9.J300 (2021-present)
Chanzo (Toyota Land Cruiser - Wikipedia)

Engine |
|
---|