Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,577
Maisha ya kuungaunga tu mkuu ajira kwa muindi.
Siku litakapopigwa mnada pale bandarini kwa wewe kushindwa kuligombowa usisahau kunipm.
Maisha ya kuungaunga tu mkuu ajira kwa muindi.
ulikua na mpango wa kwenda kazini kwa mhindi na v8 cygnis ya petrol. full tank zote lakhi tatu na themanini. wahi Mirembe kabla hujavua nguo
Siku litakapopigwa mnada pale bandarini kwa wewe kushindwa kuligombowa usisahau kunipm.
funguka kwanza ni model gani ya vx. kuna v8 petrol na V8 diesel kuna amazon inakula lita km 3 tu . kuna gx ya kawaida inakula lita km 8 specify engine na mwaka.
Ndugu nikwamba lazima unapokuja hapa kutaka ushahuri uje na details sisi hatuwezi kuota ukisema land cruiser zipo series nyingi za land cruiser
Kwanza ujue nini unahitaji uje hapa tutakupa jibu sasa mwingine anakuja na jibu la jumla eti inainjini ya costa sasa ukiambiwa hivyo unajua ni Land cruiser gani??Muulize nduguyo akupe series tutakupa details na picha tutakupa!!Karibu!
Mkuu umenimaliza kimawazo! Post nzuri sana!
Aliwezi kwama coz kila kitu analekebisha mtumaji, mimi nikwenda kulichukua na kuliingiza barabarani.
huyu jamaa atakuwa ni mhaya. vx pia lina choo na bafu ndani pia linatumia maji
Waungwana habari zenu,
Mwenye kuifahamu gari aina ya land cruiser vx hasa ulaji wa mafuta na matengenezo. Maana yupo ndugu yangu ughaibuni anataka kunitumia hapa nyumbani tanzania, kama ni yagharama sana uwendeshaji wake basi nimwambie aghairishe maana uwezo wangu ni wa mchumia tumbo.
Kaka si ndio umuulize, unataka msaada wakati huna information za kutosha. Hiyo kwako ni sawa na kuuziwa kitu ambacho hata yeye hawezi kukieleza ni niniMimi sifahamu ya mwaka gani wala kama ya mafuta gani ila ninachojua ni vx na sio amazon ila inafanana muundo.
Waungwana habari zenu,
Mwenye kuifahamu gari aina ya land cruiser vx hasa ulaji wa mafuta na matengenezo. Maana yupo ndugu yangu ughaibuni anataka kunitumia hapa nyumbani tanzania, kama ni yagharama sana uwendeshaji wake basi nimwambie aghairishe maana uwezo wangu ni wa mchumia tumbo.
Waungwana habari zenu,
Mwenye kuifahamu gari aina ya land cruiser vx hasa ulaji wa mafuta na matengenezo. Maana yupo ndugu yangu ughaibuni anataka kunitumia hapa nyumbani tanzania, kama ni yagharama sana uwendeshaji wake basi nimwambie aghairishe maana uwezo wangu ni wa mchumia tumbo.
Akutumie engine y diesel inaitwa 1hdt ni 6cylinder unywaji wke kawaida tu kma prado ya 1kz.v8 ndio shida ila hiyo engine y 1hdt ndio nzuri hata vx oldmodel ndio engine yke
Nlitoka dar 2 arusha lita 89diesel usiogope bro