Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
- Thread starter
- #21
Ata hivyo nishaanza kupata mwanga ni bora nikabaki na starlet yangu ya sasa.
Karibu kwa mimi mtaalamu akikwambia ni yamwaka gani nitakwambia ni series fulani na akwambie ni ni diesel tutajua ni aina gani ya ingine akwwambie pia je ni standard,gx,vx tutakwambia ni ingine ggani inakaa katika level hizo akwambie ni diesel,petrol tutakwambia ni ingine gani kwa details hizo utajua gari yako niipi na inakula mafuta kiasi gani kw alita!Asante
Layman explanation
Karibu kwa mimi mtaalamu akikwambia ni yamwaka gani nitakwambia ni series fulani na akwambie ni ni diesel tutajua ni aina gani ya ingine akwwambie pia je ni standard,gx,vx tutakwambia ni ingine ggani inakaa katika level hizo akwambie ni diesel,petrol tutakwambia ni ingine gani kwa details hizo utajua gari yako niipi na inakula mafuta kiasi gani kw alita!
Kwa kifupi hayo ni magoma ya kiboss so tegemea ulaji mkubwa tu wa mafuta na spea za bei kubwa kubwa !!
Kama unafanya kazi TRA utaiweza tu mkuu. Mwambie akutumie.
Safi sana, mshauri ailete haraka, nina Coaster yangu inahitaji injini mpya.Engine ni zile za coaster cc 4500 kazi ni kwako !!
Kufanya tu kazi TRA hakumaanishi uko safi, kuna walala hoi kama sehemu nyingine yoyote. Kinachomata position yako.Kama unafanya kazi TRA utaiweza tu mkuu. Mwambie akutumie.
Maisha ya kuungaunga tu mkuu ajira kwa muindi.
ulikua na mpango wa kwenda kazini kwa mhindi na v8 cygnis ya petrol. full tank zote lakhi tatu na themanini. wahi Mirembe kabla hujavua nguo
Sikweli kuna gari 5L Land cruiser inaenda km 9-10 diesel kwa lita sasa hapo sisa na gx 100?un hz engine RZJ 2.7 cc hazili mafuta kama watu wanavyodhani!Kwa kifupi hayo ni magoma ya kiboss so tegemea ulaji mkubwa tu wa mafuta na spea za bei kubwa kubwa !!
Uliposema ww ni mchumia tumbo BASI HIYO GARI HAUIWEI HATA KIDOGO.!GARI ZA MAFISADI, KINA NKONO, MBOWE, EL,ZZK,MASOGANGE,PAPAA MUSOFE, NDAMA MUTOTO YA NG'OMBE RIZ 1,NA WENGINE WA HAINA HIYO.
VITZ, STARLET, SPACIO,IST UKIJITAHIDI SN HARRIER." zawadi ni zawadi usichague"
Waungwana habari zenu,
Mwenye kuifahamu gari aina ya land cruiser vx hasa ulaji wa mafuta na matengenezo. Maana yupo ndugu yangu ughaibuni anataka kunitumia hapa nyumbani tanzania, kama ni yagharama sana uwendeshaji wake basi nimwambie aghairishe maana uwezo wangu ni wa mchumia tumbo.
service ya kawaida sana yaani kubadilisha cleaners zote oil na kucheki betri mafuta ya breki. etc ni milioni mbili unusu kila km elfu tano. toyota tz wakikuta kuna kitu kibovu wanabadilisha na genuine bila kutoa taarifa. na hutakiwi ulifuate mwenyewe lazima utume dereva alipeleke na kulichukua. wewe kazi yako ni kusaini checki baada ya kuletewa invoice. nilipeleka kibenzi changu d.t.dobie sitakaa nisahau