Land cruiser vs land rover in tourism

Land cruiser vs land rover in tourism

hiltonh247

Senior Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
154
Reaction score
28
Katika pita pita zangu Tanzania especially mkoa wa Arusha, nimekua nikiangalia magari yanayotumika zaidi kwenda porini(mbuga za Wanyama). Na nimepata bahati ya kutembelea mbuga kama Manyara Tarangire Katavi na Serengeti.
Nikaona magari mengi ni LAND CRUISER Japokua na LAND ROVER pia zipo nyingi kiasi.
Na cruiser zinazotumika zaidi ni hard body zenye 1hz engine..hata makampuni mengi ya tours Wana idadi kubwa ya land cruiser kuliko land rover.!
WHAT'S SO SPECIAL ABOUT LAND CRUISER HARD BODY???
 
Land Rover mpya ni ghali sana kuliko Land Cruiser Hard Body Halafu pia wanadai maintenance ya Rover pia iko juu. Ila kwa kweli LR ina perform vizuri zaidi off road kuliko LC na pia gari ya muingereza ni more comfortable kuliko ya mjapan
 
Unaongelea Land Rover Defender? Au ipi?

Mara nyingi wanakimbilia land cruiser kwasababu yapo mengi sana halafu ni second hand au third hand. Na mengi wananunua kwenye hizi UN agencies kama UNHCR, UN HABITAT etc kwasababu zina maintainance nzuri wakija wanazifungia body mpya zinaingia kazini.

Pia land cruise service almost kila sehemu na utapata service ya uhakika kuliko land rover ambazo ukikosea kwenye service unaharibu gari.
 
Mkuu, waliotangulia kutoa maoni wamesema yote. Siongizi kitu. LandRover ni bora ila expensive kwa kila kitu kuanzia maintainance hata manunuzi ya Gari. Si unajua mambo ya Pounds !- currency bora duniani.
 
Land Rover mpya ni ghali sana kuliko Land Cruiser Hard Body Halafu pia wanadai maintenance ya Rover pia iko juu. Ila kwa kweli LR ina perform vizuri zaidi off road kuliko LC na pia gari ya muingereza ni more comfortable kuliko ya mjapan

Ni kweli kabisa hata bei ya kukodi land rover kwenda nayo porini iko juu kuliko land cruiser
 
Land cruiser Ni gari ngumu na matengenezo yake Ni ghali sana,na haihitaji matengenezo ya Mara kwa mara ila shida yake kwenye tope huwa inakwama kirahisi sana ila wakati mwingine unategemea na dereva,land rover matengenezo yake Ni rahisi ila Ni ya mara kwa mara ndo maana inakua ghali sana,shida ya land rover engine yake Ina pipe nyingi sana kiasi kwamba pipe hata ndogo ikileta shida lazima ikulaze polini na leakage za diff na engine ndo zinaboa na kibaya zaidi body yake hata ingekua mpya lazima iingize vumbi
 
Unaongelea Land Rover Defender? Au ipi?

Mara nyingi wanakimbilia land cruiser kwasababu yapo mengi sana halafu ni second hand au third hand. Na mengi wananunua kwenye hizi UN agencies kama UNHCR, UN HABITAT etc kwasababu zina maintainance nzuri wakija wanazifungia body mpya zinaingia kazini.

Pia land cruise service almost kila sehemu na utapata service ya uhakika kuliko land rover ambazo ukikosea kwenye service unaharibu gari.

Literally it can't be LR DISCOVERY 4, LR RANGE or LR FREELANCER.it's Defender specifically 110 brother.!
 
Sawa kaka japo siku hizi kuna watu wanatumia Discovery which is performing best off road.
 
Unaongelea Land Rover Defender? Au ipi?

Mara nyingi wanakimbilia land cruiser kwasababu yapo mengi sana halafu ni second hand au third hand. Na mengi wananunua kwenye hizi UN agencies kama UNHCR, UN HABITAT etc kwasababu zina maintainance nzuri wakija wanazifungia body mpya zinaingia kazini.

Pia land cruise service almost kila sehemu na utapata service ya uhakika kuliko land rover ambazo ukikosea kwenye service unaharibu gari.

Napenda sana magari....hivyo yanipelekea kupenda sana threads zako kaka your more expereance about it
 
Naungana na waliotangulia kusema,wameongea vizuri sana.Mimi nimejifunzia gari kwenye Land rover defender na baadae nikaendesha Land cruiser (Migodini huko kanda ya ziwa).Kwa off-Load Land rover inafanya vizuri sana,tatizo ndiyo hilo walilosema waliotangulia gharama za matengenezo,body inakongor?/loka haraka spare zake hazipatikani kwa wingi n.k.Kwenye matope Land cruiser zinanasa kilaini sana,tairi zake ni kama panga zinachimba ardhi haraka (Hapa wataalamu wa Physics watasaidia) hata ukifunga tairi pana bado zinachimba ardhi na gari inakwama.
 
Napenda sana magari....hivyo yanipelekea kupenda sana threads zako kaka your more expereance about it

Sina experience na haya mambo sema najifunza sana kwasababu ni moja ya vitu nnavyovipenda.
 
Land cruiser Ni gari ngumu na matengenezo yake Ni ghali sana,na haihitaji matengenezo ya Mara kwa mara ila shida yake kwenye tope huwa inakwama kirahisi sana ila wakati mwingine unategemea na dereva,land rover matengenezo yake Ni rahisi ila Ni ya mara kwa mara ndo maana inakua ghali sana,shida ya land rover engine yake Ina pipe nyingi sana kiasi kwamba pipe hata ndogo ikileta shida lazima ikulaze polini na leakage za diff na engine ndo zinaboa na kibaya zaidi body yake hata ingekua mpya lazima iingize vumbi

Mkuu umemaliza kila kitu... huo ndio ukweli wa land rover. Nimetumia mnoo haya magari yote mawili nayajua vizuri sana..
 
Sina uhakika wa tyres but...kikubwa ni gharama za maintenance kama walivyosema wengine. ...However the worst experience ni kuongeza vumbi nani. ..u wiki! ....physics kidogo pia ni kuwa pressure=force/area...this can explain also kwa nn kitonga imejengwa kwa zege moreover. .mlimani kwa
barabara za lami kumedidimia
 
L/r Spea zipo nyingi sana kuliko za l/c na bei zake sio ghali. Mfano nenda ulizia bei exel 1ya l/cruser ni ni sawa na exel 3 za l/r
 
Back
Top Bottom