Lamine Yamal kuburuzwa mahakamani

Lamine Yamal kuburuzwa mahakamani

Watu wafupi wanazinguaga sana, akili ziko karibu na mavi. Sasa umelipwa ukatumbuiza tatizo liko wapi!
 
😂 sasa jamani kwani kuwatumia mbilikimo kuna shida gani!!, mbona wao walikubali kutumbuiza ila watu wakikutafutia jambo watazua lolote walitakalo!.
Hii kesi imenichekesha si kidogo...🤣
Inategemeana na Sheria za nchi husika.
Unajua kwa kawaida mtu mbirikimo anakuwa kama anazaraulika hivi.
Na kuchekwa
 
HUYU DOGO mshauri wake SIJUI nani WATU weusi na kashfa ya ngono nipua na mdomo ye anajitoa ufahamu. Kesi za WATU weusi wanasoka ni KAWAIDA ye hata ajali
Au mm ndio sijui kusoma? Mbona sijaona issue ya ngono hapo juu au taarifa imekuja nusu?

Alafu mbona sioni kosa la dogo, mm naona kawapa ajira wametumbuiza akawapa pesa sasa kosa ni lip?
 
Lamine yamal na starehe zake sijui kama atadumu muda mrefu katika soccer

Ila hicho chama Cha mbilikimo Hawana akili
Huyu dogo karithi vitu vingi vya baba yake, dingi yake muhuni flani hivi dogo asipojiangalia hizi starehe zitampoteza kwenye soka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom