Lamine Yamal for Ballon D'or. Nani anapinga?

Huyo bishoo anayevaa mlegezo kama anajinyea mavi alieanza kulewa sifa na kujiona yeye ni sir God, mwenye nidhamu mbovu na kujiskia.sana kujiona supastaa wa Dunia kuanza kufananishwa na Messi la pulga na cr7 , afunge kwanza magoli 500 na acheze mechi 500 ndio angalau tuanze kumchukulia serious..kwa Sasa aendelee kua bishoo na kushusha mlegezo
Huu ni wivu sasa. Unataka utuambie wewe ulivyokuwa na miaka 17 ulikuwa haufanyi mambo ya kihuni?
 
Hulo kutoweza ndo kinakuja kipaji
Kwa nini Mtu asiyeona (kipofu) anauwezo wa kukariri sauti za watu kuliko watu ambayo siyo kipofu?

Kwa nini mtu asiyesikia (kiziwi) anauwezo mkubwa wa kutumia na kuielewa lugha ya ishara kuliko wanttu wanaosikia?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Hilo mnalionaje wakuu kijana ana kipaji sana Cha mpira kiwange chake ukimtazama vizuri bila wasiwasi ni robo ya uwezo wa Messi +nusu Ronaldinho gaucho+nusu Neymar Jr.

He deserves hachoshi kumtazama kila mda utatamani awe na mpira yeye tu kwa anachokifanya.
View attachment 3335729
Tuwaachie wenye ballon d'Or yao,watampa wanayemtaka wao!
 
Sasa kuchukua mpira na kwenda uwanjani kuna kipaji gani hapo...hiyo ni just loving the game and desire to succeed
Mazoezi na juhudi pekee, vitakufanya uwe na kiasi fulani cha ufanisi wa hilo jambo, lakini kipaji kikiongezewa juhudi na mazoezi kinakuwa na ufanisi zaidi kuliko yule asiye na kipaji!
Hussain bolt alikuwa mkimbiaji mzuri na bora kwenye dunia ya mbio, badae akastaafu mbio akahitaji kucheza mpira!
Alifanya trial kama sisahau ni borussia dortimund akaambiwa afanye mazoezi atleast mwaka angalau aweze kuwa na basic ball playing.. akafanya hivyo akapata nafasi ya kucheza kwenye team fulani! Alikuwa tu just another team player! Lakini baada ya kuweka juhudi!
Wachezaji haiba ya messi, ronaldo, neymar, ronaldinho, maradona, okocha, hao huwezi kuwapata kupitia mazoezi pekee never! Kamweeeeeee!!! Acha kujifariji kamwe huwezi kupata hao watu!!
Hao ni vipaji vikubwa ambavyo viliendelezwa kwa nidhamu na juhudi zao binafsi kufikia kielel cha soka na kujulikana kwa umaridadi wao!!
Hizi academy hazipo kwa bahati mbaya!
Hawa scouts wa watoto hawaji kwa bahati mbaya! Wana criteria zao za kuchagua wachezaji wa kuwachukua kwenye academy zao, ingekuwa ni suala la juhudi na mazoezi tu bila kipaji basi wangejaza watoto wao huko kwenye academy!!
Si muhimu kocha tu?? Wangejaza watoto wa shangazi zao tu!! Lakin haiwezekani kwasabab cha kwanza ni kipaji kisha mazoezi na kila kitu knafuata!!
 
Umejibu vyema.
 
Wee hicho unachoita kipaji ni kutokana na mazoezi waliyokuwa wanafanya bro. Sasa wewe usain bolt unamtoleaje mfano jitu lilishakuwa kubwa na ukizingatia bwana wenger anakwambia kuwa ufundi wa mpira unajengwa wakati mtoto ana umri wa miaka 8 mpaka 14.
 
Kwani kuna wachezaji wangapi wameanza kunolewa wakiwa na miaka minne??
Wapo wangapi Wamefikia japo nusu ya kipaji cha ronaldo??
Achilia mbali messi, ronaldo tu!!
Huyo wenger anaongelea academic procedures za kulea na kukuza kipaji cha mpira sio kumfundisha mtoto kucheza mpira!.. kipaji lazima kiendelezwe, kinaendelezwaje? Ndo hizo procedure anazozitumia wenger!
Darasani tu una watu ambao wako elite na wengine ni bogus lakini mwalimu ni mmoja!

Messi kakua la masia akiwa na kundi la wachezaji kibao je wangapi walikuja kuwa kama messi wakati walikuwa wanafundishwa pamoja, mwalimu mmoja, programmes ni moja, uwanja ni mmoja, wanalala na kuamka pamoja, wanakula pamoja, lakini kwanini akawa ni messi na sio wengine? Kipaji!
Utafundishwa positioning,
Utafundishwa passing
Utafundishwa shooting
Utafundishwa holding
Lakin kam huna kipaji huwezi kufikia level za kustua wengine! Utakuwa t na uwezo wa kukamilisha namba uwanjani(systerm player)
Lakn sio brilliant player!!
Kuwa brilliant na kuwa systematic ni kipaji zaidi kinahitajika...
Huwezi kutenganisha kipaji na messi,ronaldo, neymar,yamal, pedri, iniesta, Xavi wala busquets.. never huwezi kutenganisha kipaji na marcelo, xabi alonso, sneijder, robinho, riberry, robben, huwezi!!!!

Ingekuwa kuweka mpira kwapani tuu hii dunia tusingeshuhudia ufundi wa ronaldinho, wala tusingeuimba uwezo wa david beckham, wala tusingepiga kelel kuhus maufundi ya eden hazard, tusingeimba jins la almando maradona maana wapo wengi wanafanya sana mazoezi na wana juhudi sana lakini bado wa kawaida tu!!!

Ingekuwa mpira sio kipaji ni kufundishwa ngolo kante tungemfukuza asicheze kabsa soka maan hajawahi kupita akademi yyt kujifundisha kucheza!!
Tusingemruhusu sadio mane, wala tusingemjua ronaldo kama kweli mpira unafundishwa tu!!! Mpira ni talent kubali kataaa
 
Naona hapa lugha gongana.
Point yangu ni kwamba hivyo unavyosema ni vipaji vya kina messi ronaldo and co... Hizo ni endless hours wakiwa peke yao na boli weye ndio sasa wale scouts wanawaona ndio kuwapeleka kwenye hizo academy.

Talent= masaa mengi yako pele yako ukiwa na mpira sio kitu unazaliwa nacho. Ingekuwa kitu unazaliwa nacho sasa sii messi angeluwa haendi training. Wee uliona documentary ya maradona alivyokuwa anajifua? Talent ni infinite number of repetitions alone when no one is watching u.
 
Kwa nini Mtu asiyeona (kipofu) anauwezo wa kukariri sauti za watu kuliko watu ambayo siyo kipofu?

Kwa nini mtu asiyesikia (kiziwi) anauwezo mkubwa wa kutumia na kuielewa lugha ya ishara kuliko wanttu wanaosikia?

Tuanzie hapo kwanza.

1. Kwa nini mtu asiyeona (kipofu) ana uwezo mkubwa wa kukariri sauti za watu?

Mtu kipofu anapokosa kuona, ubongo wake hujifunza kutumia zaidi hisia zaidi kwa mf, kusikia na kugusa. Hii inaitwa neuroplasticity, yaani uwezo wa ubongo kubadilika na kujifunza kulingana na mazingira au hali ya mtu.

Kwa kuwa hawaoni, vichwa vyao havitishiwi na taarifa nyingi za kuona, hivyo huelekeza umakini wao mkubwa kwenye sauti. Hii inawasaidia:

Kukumbuka sauti kwa urahisi, kwa kuwa hutegemea sana kusikia ili kupata taarifa kuhusu mazingira yao.

Kujifunza kwa kusikia, kwa hiyo wanakuwa na mazoea ya kusikiliza kwa makini na kukariri wanachosikia.

Kuwatambua watu kwa sauti zao, kwani hawawezi kuwaona kwa macho.

2. Kwa nini mtu asiyeweza kusikia (kiziwi) anaelewa na kutumia lugha ya ishara kwa urahisi kuliko watu wanaosikia?

Mtu kiziwi hawezi kutumia sauti kuwasiliana, hivyo lugha ya ishara huwa njia kuu ya mawasiliano. Kadri anavyotumia lugha ya ishara kila siku, ndivyo anavyoizoea na kuimudu zaidi. Sababu kuu ni:

Ni njia yao ya msingi ya kuwasiliana, hivyo wanaielewa kwa kina.

Wanapata mafunzo ya mapema, hasa kama wamezaliwa wakiwa viziwi — hukua katika mazingira ya lugha ya ishara.

Ubongo wao hutumia maeneo ya kusikia kuchakata ishara, hali inayoongeza ufanisi wa kuelewa ishara (neuroplasticity tena ina kazi hapa).

Mazoezi ya kila siku huwafanya wawe mahiri zaidi katika kufasiri na kutoa ishara kuliko watu wasiosikia ambao hawajazoea.
 
Bongo mpaka tufeli form four kwanza ndo tunaingia kwenye soccer tena tunafake age secondary school graduate 14 years old KUBABABAKE
 
1747345646739.jpg
 
Naona hapa lugha gongana.
Point yangu ni kwamba hivyo unavyosema ni vipaji vya kina messi ronaldo and co... Hizo ni endless hours wakiwa peke yao na boli weye ndio sasa wale scouts wanawaona ndio kuwapeleka kwenye hizo academy.

Talent= masaa mengi yako pele yako ukiwa na mpira sio kitu unazaliwa nacho. Ingekuwa kitu unazaliwa nacho sasa sii messi angeluwa haendi training. Wee uliona documentary ya maradona alivyokuwa anajifua? Talent ni infinite number of repetitions alone when no one is watching u.
Haendi trending kwann?? Hukuwa unamsikia pep kipind anamuondoa ronaldinho kikosini?? Au kipindi mourinho anamlalamikia hazard kwa kuwa mzembe mazoezini alaf kwenye mechi bado anazima fresh?? Mazoezi na juhudi tu zitakufanya uwe na ufanisi wa jambo fulani lakni kipaji kinakupeleka high zaidi mzee kubali kataa
 
Huyo bishoo anayevaa mlegezo kama anajinyea mavi alieanza kulewa sifa na kujiona yeye ni sir God, mwenye nidhamu mbovu na kujiskia.sana kujiona supastaa wa Dunia kuanza kufananishwa na Messi la pulga na cr7 , afunge kwanza magoli 500 na acheze mechi 500 ndio angalau tuanze kumchukulia serious..kwa Sasa aendelee kua bishoo na kushusha mlegezo
usilazimishe youth career yake na za Messi na CR7 zifanane babuu. yupo zama tofauti kabisa hata wewe ungezaliwa binti kwa umri wa miaka 17 sasa hivi ungekuwa na Mimba. Ila kwa zama zako bado ungekuwa kipusa tu
 
Haendi trending kwann?? Hukuwa unamsikia pep kipind anamuondoa ronaldinho kikosini?? Au kipindi mourinho anamlalamikia hazard kwa kuwa mzembe mazoezini alaf kwenye mechi bado anazima fresh?? Mazoezi na juhudi tu zitakufanya uwe na ufanisi wa jambo fulani lakni kipaji kinakupeleka high zaidi mzee kubali kataa
Haya bana nimekubali....
Sasa yule bwana ronaldinho anakuja lini bongo nikamuone...maana jamaa alikuwa na mabalaaa
 
Muombe tu kwenye page zake mwambie una mount kilimanjaro, una ngorongoro, mikumi, serengeti na michoro ya kondoa irangi aje ashangae atakubali mwaliko
 
Ah yule namwambia kuna samaki samaki hapa utapata totoz kali za kupiga na 3some atafurahi sana
 
usilazimishe youth career yake na za Messi na CR7 zifanane babuu. yupo zama tofauti kabisa hata wewe ungezaliwa binti kwa umri wa miaka 17 sasa hivi ungekuwa na Mimba. Ila kwa zama zako bado ungekuwa kipusa tu
Fact
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom