Lamine Yamal for Ballon D'or. Nani anapinga?

Huwezi kujua kugegeda kama hugegesi vyakugosha....na hapa ndio umuhimu wakurekodi mizangamuano ili baadae ufanya video analysis na kuendelea kuwa bora zaidi
Unachukua videos halafu baadaye unachambua na kuboresha pale palipo na madhaifu. Nashangaa watu wanaenda enda tu hata hawajui percentage ya performance zao.
 
Kabisa kabisa....ni kwamba mtu ameweke,a masaa na masaaa katika hicho kitu ndio kimempelekea kuweza kufanya hicho kitu kwa ufanisi wa hali ya juu.
Kipaji ni kama madini, malighafi, kinahitaji kichimbwe, kioshwe kichakatwe ndo kiwe bidhaa yenye thamani,
Huwezi kumfundisha mtu kutumia mguu wa kulia wakati mguu wake ni mama ni kushoto!
Kitachakofanyika ni kumuhimiza tu angalau awe na matumizi saidizi ya mguu wake dhaifu kuuongezea nguvu mguu wake dominant!!
Mpira kuupiga si kipaji
Ila mpira kuucheza ni kipaji halisi..
Kocha atakufundisha link up play, positioning, PT na how to behave like a professional..
Lakini kocha hawezi kukufundisha upeo wa kucheza mpira, usahihi wa kupiga pasi, wala hawezi kukufundisha shooting accuracy..
Ingekuwa mpira ni kuamua tu kujifundisha basi tungekuwa na kina messi wengi sana, kina ronaldo wengine wengi sana, kina hazard wengi sana, kina Mrisho ngassa wengine wengi sana!! Vp kuhusu kuwa na kina mwinyi kazi moto na kina boban? Wangekuwa wengi sana
 
Huyo bishoo anayevaa mlegezo kama anajinyea mavi alieanza kulewa sifa na kujiona yeye ni sir God, mwenye nidhamu mbovu na kujiskia.sana kujiona supastaa wa Dunia kuanza kufananishwa na Messi la pulga na cr7 , afunge kwanza magoli 500 na acheze mechi 500 ndio angalau tuanze kumchukulia serious..kwa Sasa aendelee kua bishoo na kushusha mlegezo
 
Acha wivu mkuu kumbuka huyo ni dogo la miaka 17 ambao kibongobongo probably angekuwa form 3 au 4 na huo ndo umri wa foolish age, akikua ataachaa. Jiulize wewe katika umri kama wa kwake ulikuwa wapi na unafanya nin?
 
Mkuu acha chuki.
Dogo anajitahidi lakini kiukweli kumfikia Messi si kazi rahisi hata kidogo.
 
Kipaji ni kama madini, malighafi, kinahitaji kichimbwe, kioshwe kichakatwe ndo kiwe bidhaa yenye thamani,
Huwezi kumfundisha mtu kutumia mguu wa kulia wakati mguu wake ni mama ni kushoto!
Kitachakofanyika ni kumuhimiza tu angalau awe na matumizi saidizi ya mguu wake dhaifu kuuongezea nguvu mguu wake dominant!!
Mpira kuupiga si kipaji
Ila mpira kuucheza ni kipaji halisi..
Kocha atakufundisha link up play, positioning, PT na how to behave like a professional..
Lakini kocha hawezi kukufundisha upeo wa kucheza mpira, usahihi wa kupiga pasi, wala hawezi kukufundisha shooting accuracy..
Ingekuwa mpira ni kuamua tu kujifundisha basi tungekuwa na kina messi wengi sana, kina ronaldo wengine wengi sana, kina hazard wengi sana, kina Mrisho ngassa wengine wengi sana!! Vp kuhusu kuwa na kina mwinyi kazi moto na kina boban? Wangekuwa wengi sana
Wee unadhani hiyo kujifundisha kila mtu anaweza? Je wewe unadhani wangapi wanaweza chezea mpira peke yao masaa 10 kwa wiki na wafanye hivyo kwa miaka 10 mfululizo?

Kocha anakufundisha hivyo vyote ulivyotaja hapo sema kwamba kocha hawezi kukufanyia hayo mazoezi maana fabo is all about repititions, corrct repititions for that matter. Sasa hapo kwenye repititions ndio wengi hatuwezi.
 
Acha wivu mkuu kumbuka huyo ni dogo la miaka 17 ambao kibongobongo probably angekuwa form 3 au 4 na huo ndo umri wa foolish age, akikua ataachaa. Jiulize wewe katika umri kama wa kwake ulikuwa wapi na unafanya nin?
Alikuwa ananyetuka tuu na sabuni ya komoa🤣🤔🤣🤣
 
Wee unadhani hiyo kujifundisha kila mtu anaweza? Je wewe unadhani wangapi wanaweza chezea mpira peke yao masaa 10 kwa wiki na wafanye hivyo kwa miaka 10 mfululizo?

Kocha anakufundisha hivyo vyote ulivyotaja hapo sema kwamba kocha hawezi kukufanyia hayo mazoezi maana fabo is all about repititions, corrct repititions for that matter. Sasa hapo kwenye repititions ndio wengi hatuwezi.
Hulo kutoweza ndo kinakuja kipaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom