Bora uliyesema nusu, kuliko kumlinganisha na neymar😭😭😭 acheni matusi ya mpira wazee..
Ukiniambia nusu naweza kukuelewa hata km kutakuwa na nyama hazijajaa vizuri!
neymar aliyetimia, alikuwa very clinical in front of the goal!
Neymar uwezo wake wa kufanya take ons, was beyond levels kitu ambacho hata yamal anakionesha pia!!
Lakini ni kwamba bado yamal anaendelea kudevelop! Hajafika level ya kufanana na neymar, though ni wazi potential ya kumfikia neymar inaonekana na anaweza kuwa mkali zaid ya neymar!
Yamal bado ana vitu vya kuimprove
Haswa eneo la ufungaji..
Anatakiwa aongeze maarifa ya kufanya cut inside nyingi tofauti na alivyo sasa.
Yamal anapenda sana kucheza pembeni (typical natural winger antics) kitu ambacho kinamfanya awe mbali sana na goli,
aisee huyu dogo akiweza tu kuimprove ilo eneo ataweka kambani chuma nyingi sana kwa msimu kwasabab ule uwezo wake wa curl in the ball aweee🔥🔥🔥
Huyu dogo akiweza kucheza karibu na goli chuma zitakuwa nyingi kama mchanga! Ana carve za hatari sana,,
Hajafikia kufanana na neymar, neno sahihi zaidi kulitumia nadhani ni nusu ya neymar kwa sasa!!
Neymar alikuwa mtendaji mkamilifu zaidi, yamal bado anaongezeka siku hadi siku!!
futbol fact: yamal ana mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi kwenye club na NT kuliko mchezaji yyt duniani katka umri wake!