Jacoduogo2 muone jamaa yako hapo juu Narubongo aka Airo hataki kuusikia huu ukweli anasema ni unafiki!Lameck Okambo Airo alibaka ubunge na ukweli ni hawezi ubunge kwani hata ukimuuliza maana na kazi ya mbunge hatokupa jibu kamwe! Yule alitumwa na Lowassa ili kumsaidia Lowassa kutimiza ndoto zake 2015! Hutaki unaacha na ukweli ndo huo....!

Lameck Okambo Airo alibaka ubunge na ukweli ni hawezi ubunge kwani hata ukimuuliza maana na kazi ya mbunge hatokupa jibu kamwe! Yule alitumwa na Lowassa ili kumsaidia Lowassa kutimiza ndoto zake 2015! Hutaki unaacha na ukweli ndo huo....!

Hakuna Mkurya anayekaa rorya kuna Wasuba, Wakurya hatuan tabia ya kununuliwa Chambili alifirisikaUnakumbuka lile sakata la yeye (lameck Airo) kulalamikia viongozi wa chama chake kumwekea kauzibe asilete maendeleo jimboni nao wakaufyata? Rorya ni zaidi ya unavyoifahamu...usije shangaa 2015 anarudi bungeni...wewe na mimi hatufahamu
Lameck aligusa nyoyo za watu na hata kumshinda mpinzani wake mkubwa Prof. Monyo. Lameck alitoa kituko cha mwaka, kwa kusema kwamba, Darasa la saba mpo??? basi umati mkubwa ukaitika tupo... Basi hiyo ndio ikawa signature yake kwenye kampeni.......Darasa la saba ukawa ndio wimbo wake. ....
John Mashaka aka N....... wa JF