Lakuvunda Halina Ubani .

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
85
Dada huyu ameshuka katika gari na kuanza kutembea bila shida katika mazingira ya "public".inasemekana alikuwa anatokea kwenye fiesta kuelekea Dar.wapi maadili?
​
 
....aiseeeee!!
Jua kali jamani..
 
Amewaona kwenye Tv akaona naye ajifananishe! Kweli amependeza hadi watu wanamgeukia kama hawana akili nzuri.
 
kwani nani huyu?Rose ndauka?
 
Uzuri nyuma amepigwa pasi. Ingekuwa mzigo, weweeeee!!!
 
Angekuwa na ile mizigo wanayopenda wazee (a.k.a FARU ),pasingetosha
 

dada huyu ameshuka katika gari na kuanza kutembea bila shida katika mazingira ya "public".inasemekana alikuwa anatokea kwenye fiesta kuelekea dar.wapi maadili?
​
tisheti nyeusi bado kidogo kushadindi.
 
hizo ni swagg za mabinti...unamshangaa huyo hujawaona kina Wema na yule mwenzake kinyago cha mpapure wanavyoonesha maungo yao kwa kadamnasi kwenye majukwaa ya Fiesta!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…