KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,289 69,578 Dec 26, 2016 #2 mambo ya kijijini hayo hapo wameshashiba michembe na maharagwe! sasa imeshuka chini wangekunywa gongo hakuna atakae muogopa mwenzake
mambo ya kijijini hayo hapo wameshashiba michembe na maharagwe! sasa imeshuka chini wangekunywa gongo hakuna atakae muogopa mwenzake
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Dec 26, 2016 #3 Uuzuri wa kusaundisha machakani kama hivi, mkikubaliana mnamalizana huko huko machakani... Hakunaga gharama za guest house
Uuzuri wa kusaundisha machakani kama hivi, mkikubaliana mnamalizana huko huko machakani... Hakunaga gharama za guest house
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 42,007 73,285 Dec 26, 2016 #5 Jamaa anakula bampa to bampa na mchuchu, mumo kwa pale
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,784 Dec 26, 2016 #6 Bila shaka hapa ni Chaatoo!
dexterous JF-Expert Member Feb 26, 2014 2,037 3,132 Dec 26, 2016 #7 Mkao huo ndo wa kuanza kukubali sasa hapo unapigilia msumari wa mwisho tu
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Dec 26, 2016 #8 Jamaa mjanja,ameona dem anavyolegea akimtazama kifuani na kugundua somo lishaeleweka,sasa anatathmini lile pori kule anapotizama azamishie wapi cargo lake.
Jamaa mjanja,ameona dem anavyolegea akimtazama kifuani na kugundua somo lishaeleweka,sasa anatathmini lile pori kule anapotizama azamishie wapi cargo lake.
Geechie JF-Expert Member Oct 26, 2015 977 761 Dec 26, 2016 #9 Jamaa asha dinda unaona mkono mmoja kwa mfuko