Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
(mfano)'...katika hilo tukaona kuwa tuboreshe sera ya kilimo ili iendane na wakati uliopo, sambamba na soko huria. Lakini la pili...' Kiukweli hapo wanasiasa, wasomi, na wataalam wetu huwa wananiacha hoi sana. Hii imekuwa wimbo wao. Wabadilishe sasa. Lakini la pili, sidhani kama ni matumizi sahihi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Hili limekuwa ni tatizo pana sana hasa kwa viongozi. Sijajua sababu hasa ni nini. Na hilo la mimi kaka mimi ni ishu pia. Ila nashangaa wadau humu hawakunielewa nazungumzia nini.Bora leo nimepata mwenzangu wa kuliona hilo neno kama halijakaa vizuri, awali nikijidhani ni mie tu.
Ni misemo ambayo haikuwepo zamani, imezuka hii miaka ya karibuni.
Mf. Mwingine wa maneno haya ni "Mimi kama mimi....... " nalo kimaono yangu pia halijakaa njema pia.
Nilipoona tu headin' yako kabla sijaifungua Thrade nikaelewa ulichokilenga.
ni dhaifu
Samahani nimekosea njia.
Pole!
Bora umekosea njia! b care usije ukakosea choo!
Utakuja toka na ........ Tamimu Risasi
Hilo kweli neno. Lakini la pili, ni kuwa hawa watu wanaachwa tu kubananga lugha'mimi binafsi'....nalo pia....
Umekoseaje?Samahani nimekosea njia.
Ha ha haaaaa.......
sasa nitarudije kwetu?
Ina maana kwenu wajukuu hawatakiwi ?
Umekoseaje?
Sijalewa post ina maanisha nini?
Hivi kutumia lakini la pili ni tatizo, tuweke wazi. Mie ni mdau wa hili neno, lol.
Naona pana tatizo. Wengi wa watumiaji huwa hawaanzi na 'mosi'. Utasikia tu 'lakini pili'. Hatusikii tatu wala nne. Atasema tena kisha utasikia, 'lakini pili'. Halafu kwa nini waweke 'lakini?' ukishaweka 'lakini' ni wazi kuwa ulichoongea mwanzo kinapingana na cha pili. Upo?
Hilo kweli neno. Lakini la pili, ni kuwa hawa watu wanaachwa tu kubananga lugha