hivi kwanini wabunge wanapenda kutumia neno "KWA" mfano kwa mujibu wa kifungu fulan, kwa niaba ya fulan.
hivi kwanini makabila yote yanaanziwa na "WA" wamasai,wahaya,wachaga,wangon,wapare,wanyakyusa,wazaramo,n.k kwanini?
hivi kwanini wabunge wanapenda kutumia neno "KWA" mfano kwa mujibu wa kifungu fulan, kwa niaba ya fulan. <br />
hivi kwanini makabila yote yanaanziwa na "WA" wamasai,wahaya,wachaga,wangon,wapare,wanyakyusa,wazaramo,n.k kwanini?
<br />
<br />
aisee kwl nimekosea? Tofauti ya mmasaai na wamasaai ni nn, mmakonde na wamakonde. Apo kweli haimanish uwing? Bac kwl kiswahili ckifaham? Wewe ni kabila gan? Au wewe ni wapare nini?
Uporoto01 bana anataka nimletee big G...nikamwambia huku Yaeda hakuna big G kuna Bubblish na jojo....eti anasema big G ni big G tu...khaaa....uporoto01 bana.....