blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,815
- 10,031
Aisee, kwamba unakubaliana na kauli ya punguza wachache wengi wanufaike?
Kafara sijawahiKwani wewe hutoagi sadaka?
Salama mpenziza wakati huu wapenzi wajf wote
Ulete hapa!Ndio ninao
Kwanini unauliza hivyoUmesha pata mume?
Kafara sijawahi
Mmh huogopi dhambi bibie?100%
Mmh huogopi dhambi bibie?
Dhambi ni pale ambapo avatar uliyozoea kuiona inaondolewa ghafla.Dhambi ndio nini kwani
[emoji3][emoji3]Dhambi ni pale ambapo avatar uliyozoea kuiona inaondolewa ghafla.
Nimrefu sana vidole vitaumaUlete hapa!
Utaacha?😂😂😂😂😂
Bhasi hauna ni porojo tu ambazo hazina uthibitisho!Nimrefu sana vidole vitauma
Akili ni mali kila mtu anayo yake.Bhasi hauna ni porojo tu ambazo hazina uthibitisho!
Kweli je wewe umewahi toa kafara ili umnunulie mchepuko gari kali.Haya mambo ya kuamini huu ujinga ndio maana mnawakata viungo Albino wakiwa hai,mnaua vikongwe wenye macho mekundu!
Ni nchi gani iliyowahi kua na uchumi mzuri kwa kutegemea uchawi na ushirikina? Hizi imani za kipuuzi ndio huleta umasikini na uadui usio na maana.
Haujiulizi kwa nini tunapewa swali moja na majibu ufanana?Akili ni mali kila mtu anayo yake.
Mimi sio muumini wa huo ujinga,Kweli je wewe umewahi toa kafara ili umnunulie mchepuko gari kali.
Haya bhanaMimi sio muumini wa huo ujinga,
Maendeleo huja kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na kujiwekea malengo.