Lakini kwa nini?

Kwahiyo wewe shida yako nini haswa?
 
Binafsi siwezi kuwatoa Sadaka walionileta hapa Duniani, nawapeda lakini wao wananipenda zaidi. Pesa hutafutwa kwa haki, Utu wema, nidhamu na kuridhika kwa aina ya maisha unayo yapitia.
 
-Mungu mwenyewe alimtoa kafara Yesu Kristo ili watu waokolewe
-Wana wa Israel walitakiwa kutoa kafara ya mwanakondoo ili uzao wao wa kwanza upone.
-Sio mbaya mkapungua watu 3 ili 1000 wanufaike.
(Haya maneno nilimsikia mlevi mmoja akiyatamka)
 
Khali ya mwaka 😂😂😂😂hata abraham alitaka kumtoa isaka sadaka
 
-Mungu mwenyewe alimtoa kafara Yesu Kristo ili watu waokolewe
-Wana wa Israel walitakiwa kutoa kafara ya mwanakondoo ili uzao wao wa kwanza upone.
-Sio mbaya mkapungua watu 3 ili 1000 wanufaike.
(Haya maneno nilimsikia mlevi mmoja akiyatamka)
Naunga mkono hoja pasipo kushirikisha maneno ya mlevi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…