Lakini kwa nini?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Habari za wakati huu wapenzi wajf wote.
Nauzuni sana kisa maisha jinsi yanavyokwenda hakuna utu.
Jamani unakuta mtu amezaliwa na wenzie ila tamaa yakujionyesha anaenda kwa mganga anatoa familia yote sadaka.
1.kuanzia baba mama na ndugu zake.
2.unamnunuliaje gari mama wa mtu nauku umemtoa wako sadaka .
3.unamtoaje outing msichana au mdada mwingine na huku umemtoa dada yako sadaka ai sio fresh .
Unaendaje kutoa misaada ya aina mbalimbali na huku umeingamiza yako.
Leo ni weekend tafakarini haya.
Wakati mwema.
 
Kwa sasa hao watoa kafara wapo kanisani subiri watoke watakuja na majibu sahihi
 
Imani za kuamini ushirikina ni imani za kijinga kabisa,huu ni umasikini wa fikra.
 
Pesa sabuni ya roho,inatafutwa kwa njia nyingi sana,njia ya kutoa kafara ni ya kikatili sana
 
Sasa hivi ndio wamezidi hujui tu
Nilikwambia sbri watoke kanisani naona wameanza kuja, ila kua makini kafara haina chama wala kabila unaweza ukatolewa hta ww, muulize mshana atakupa hbri zote za kafara
 
Nilikwambia sbri watoke kanisani naona wameanza kuja, ila kua makini kafara haina chama wala kabila unaweza ukatolewa hta ww, muulize mshana atakupa hbri zote za kafara
Dah jamani kumbe yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…