Menejaben JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 707 Reaction score 671 Dec 24, 2016 #1 Haka kamsemo kalivuma sana awamu iliyopita ivi bado kapoo? Nauliza tu hapo mtaani kwako vip "Laki si pesa" million chenji......
Haka kamsemo kalivuma sana awamu iliyopita ivi bado kapoo? Nauliza tu hapo mtaani kwako vip "Laki si pesa" million chenji......
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Dec 24, 2016 #2 miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man leo hata nusu tu ni unthinkable
miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man leo hata nusu tu ni unthinkable
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,693 Dec 24, 2016 #3 Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa.
Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,823 Reaction score 140,863 Dec 24, 2016 #4 Kuna buku saba aitwa LAKI si pesa
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,802 Reaction score 123,868 Dec 24, 2016 #5 The Boss said: miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man leo hata nusu tu ni unthinkable Click to expand... Mkuu naikumbuka sana hii show ya kanda bongo man,ni kweli kabisa watu walilipa laki mbili siti za vip ili kumuona.
The Boss said: miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man leo hata nusu tu ni unthinkable Click to expand... Mkuu naikumbuka sana hii show ya kanda bongo man,ni kweli kabisa watu walilipa laki mbili siti za vip ili kumuona.
Menejaben JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 707 Reaction score 671 Dec 24, 2016 Thread starter #6 heradius12 said: Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa. Click to expand... Ni wazi kwamba haina thamani hata awamu iliyopita ilikuwa haina thamani pia lakini je inapatikana mpaka kufikia hatua ya kusema laki si pesa?
heradius12 said: Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa. Click to expand... Ni wazi kwamba haina thamani hata awamu iliyopita ilikuwa haina thamani pia lakini je inapatikana mpaka kufikia hatua ya kusema laki si pesa?
Menejaben JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 707 Reaction score 671 Dec 24, 2016 Thread starter #7 OKW BOBAN SUNZU said: Kuna buku saba aitwa LAKI si pesa Click to expand... Huenda atatupa majibu mazuri.
OKW BOBAN SUNZU said: Kuna buku saba aitwa LAKI si pesa Click to expand... Huenda atatupa majibu mazuri.
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,288 Reaction score 12,625 Dec 24, 2016 #8 kama we huna wenzako wanazo...........LAKI SI PESA MILLIONI KEEP CHANGE............
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,222 Dec 24, 2016 #9 Kuna Demu namjua kinywaji chake kilikuwaga savana au windohoek juzi nimemkuta dukani anagonga kiroba !
Kuna Demu namjua kinywaji chake kilikuwaga savana au windohoek juzi nimemkuta dukani anagonga kiroba !
Menejaben JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 707 Reaction score 671 Dec 24, 2016 Thread starter #10 APEFACE said: kama we huna wenzako wanazo...........LAKI SI PESA MILLIONI KEEP CHANGE............ Click to expand... Sawa najua hatuwezi kufanana, lakini nazungumzia majority kwamba bado laki si pesa kama ilivyokuaga au kuna tofauti..?!
APEFACE said: kama we huna wenzako wanazo...........LAKI SI PESA MILLIONI KEEP CHANGE............ Click to expand... Sawa najua hatuwezi kufanana, lakini nazungumzia majority kwamba bado laki si pesa kama ilivyokuaga au kuna tofauti..?!
Dr Akili JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 5,313 Reaction score 4,751 Dec 25, 2016 #11 Milioni 10 hela ya mboga ya siku moja ya familia. Bilioni 2 ( $ 1m) ni vijisenti tu. Waulize waliowahi kutamka hayo maneno watakueleza sasa hivi wanasemaje?
Milioni 10 hela ya mboga ya siku moja ya familia. Bilioni 2 ( $ 1m) ni vijisenti tu. Waulize waliowahi kutamka hayo maneno watakueleza sasa hivi wanasemaje?