Wakimpata maxmaizer atawasaidiaHawa WCB wameshindwa kutafuta producer wa kusaidiana na huyu laizer maana naona anarudia sana sample za midundo yake.
Nasikiliza wimbo mpya wa harmonize ft diamond beat inasound kama show me ya harmonize x rich mavoko
AUDIO | Harmonize ft Diamond Platnumz - Kwa Ngwaru | Download Mp3 - Oscar Boy Muziki
Hahaaa sasa beats kujirudia inahusiana nini na shonza...... haters mna tabu sanaWakipingwa.. ndio unakuta wanatukanana na Akina Naibu Shonza ..
wcb hawatakagi kukosolewa

Hii ngoma mpya nilipoiskia mwenyewe nililiona hili yaan huyu producer ideas zimemuishia...watafute mtu wa kusaidiana naeHawa WCB wameshindwa kutafuta producer wa kusaidiana na huyu laizer maana naona anarudia sana sample za midundo yake.
Nasikiliza wimbo mpya wa harmonize ft diamond beat inasound kama show me ya harmonize x rich mavoko
AUDIO | Harmonize ft Diamond Platnumz - Kwa Ngwaru | Download Mp3 - Oscar Boy Muziki
you Cant be wise and inlove at the same time.... huwezi kuona mbeleHahaaa sasa beats kujirudia inahusiana nini na shonza...... haters mna tabu sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hongera wewe ulieona mbeleyou Cant be wise and inlove at the same time.... huwezi kuona mbele

Wajameni umebugi shonza anakujaje hapayou Cant be wise and inlove at the same time.... huwezi kuona mbele
Tatizo sio producer ni msanii, beats nyingi huwa zinatengenezwa kwa kufuatisha rhythm ya msanii mwenyewe, ni nadra kukuta beat lililosukwa halaf u msanii akaliimbia.
Mkuu ukisikiliza hii melody ya huu wimbo ni tofauti na melody ya show me, kwa hiyo producer alikua na nafasi pana ya kufanya kitu tofauti..Tatizo sio producer ni msanii, beats nyingi huwa zinatengenezwa kwa kufuatisha rhythm ya msanii mwenyewe, ni nadra kukuta beat lililosukwa halaf u msanii akaliimbia.
Hakuna aliesema wimbo mbaya au kazungumzia team hapa kilichozungumziwa ni producer kurudia sample za beats..acheni ....wivu wimbo mzuri..unasikilizika...unachezeka...tuache team.
sawa Mkuu..ahsanteHakuna aliesema wimbo mbaya au kazungumzia team hapa kilichozungumziwa ni producer kurudia sample za beats..
Producers wengi waliokua wakifanya hivyo mwisho hupotea angalia kina Bob junior, lamar (fish club), mazuu, mesen selekta.
Hakuna chuki mkuu