Laiti ningekua mwanaume...

unaweza kukaa vizuri sana tu na ukaangukia pua vile vile.
cha muhimu ni kuhakikisha kuwa na wewe huumizi wengine. let love lead
ni jambo jema kua mwanamke decent but usipokaa vizuri unaweza kuangukia kwa mwumizaji
 

Asante kwa ushauri
 
unaona? Kwa style hii ya kutamani tamani majanga hayataisha aisee, wewe umefuata uzinzi unamdanganya binti wa watu unampenda na binti anafungua moyo kwa mtu aliyefuata uzinzi ndio maana wadada wanalizwa daily

Una umri gani wewe? Hivi hujui kuwa mwanaume anaanza kukutamani kwanza then anaanza kukupenda baada either ya kukugegeda au unapokuwa karibu nae kwa kipindi flan? Na na km ingekuwa nikikutamani afu nije nikutamkie MNANSO nimekutamani naomba nikakugegede ungejiskiaje? Ndo maana mnatongozwa na maaana halisi ya kutongozwa ni persuation nakutaamkia maneno mazuri ambaya nawe utashawishika..ni mwanamme mmoja kati ya 1000 ambaye atamwona msichana na akampenda hapo hapo.
 
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata

Je kama anataka dyudyu tu!!! Unadhani atahitaji kufanya assessment??
 
Tukishabadilika....unatakaje tena hivi?
 

Nakuuliza yaliyokukuta😉
 
hao viumbe wanaendeshwa na hisia sometimes! pia nasisi wanawake tunavojiweka inachangia wao kushawishika kwa kufikiria kupitia KICHWA KIDOGO badala ya KIKUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…