Laiti huyu mwanaume angejua...

Laiti huyu mwanaume angejua...

Wewe jamaa haujielewi..unatakiwa ukapimwe utindio wa ubongo..!embu heshimu ndoa yako...unadanganywa kidogo...eti sipati stimu mpaka nvutie kwako Alf unakubali alafu unakuja kujaza server za jf!?!?amka mkuu..
 
Mkuu naona huyo mwanamke kakuzidi mbinu..Mapenzi yenu si halali hivyo hakuna haja ya kuyaendekeza.
Kwa wakati huu utajisikia raha na kuamini kuwa unapendwa mno lakini hakika hujui kilichopo mbele yako.

Fanya kama wadau walivyoshauri....jiwahi kwa kujiengua mapema na ukatulie na mkeo.Muache akatulie na mmewe.Siku moja atakuja kukushukuru kwa kufikiria mbali zaidi yake.
 
Sasa wa kuonewa huruma ni huyo mwanaume au wewe uliye na familia na bado unachepuka?. Kapime afya
 
Mwanamke? Anakudanganya kujifanya analilia sijui nini wkt akiwa na mshkaji kule anamwambia bby sijawahi kupata dume la mbegu kama wewe, hear em' bt never trust em'
 
Moja, anasema hata akikutana na huyo mchumba wake, hana hisia za kufanya sex mpaka avute hisia kana kwamba yuko na mimi. Anasema utamu anaopata kwangu mpaka mwili unasisimka akivuta hisia ndo anafumba macho amkumbatie huyo bwana wake ndo aje apate momentum ya mechi
Lipia basi hili tangazo ndugu..!
 
"NAMUONEA HURUMA HUYU MWANAUME ANAYEKWENDA KUMUOA HUYU BINTI AMBAYE ANAKWENDA KUOLEWA KWA SHOW OFF!!"

Ndani ni story ya uchapakazi na uvumilivu wa huyo binti,

Wewe umeoa, unamsaliti mkeo na huyo binti.

Mama wa huyo binti anamtaka mwanae aolewe,

Binti anakupenda wewe zaidi na hataki kukuachilia,

"JAMANI HAPA NAWAZA MENGI KICHWANI SIPATI MAJIBU, NIFANYAJE NITUMBUE JIPU HILI"

Sijaelewa kabisa,
Anatangaza biashara mdogo wangu.
 
Ushauri wangu, mshirikishe mkeo wa ndoa hii habari nina imani atakushauri vizuri zaidi na utaacha kuyawaza hayo mengi unayoyasema.
Otherwise, mkuu unahitaji kujitambua.
 
Ushauri wangu, mshirikishe mkeo wa ndoa hii habari nina imani atakushauri vizuri zaidi na utaacha kuyawaza hayo mengi unayoyasema.
Otherwise, mkuu unahitaji kujitambua.
Unamshauri wa nini, hajielewi huyu na kitakachofata ngoja mwenye mke aje amnase, kama hajabong'oleshwa

Eti ni mtamu, anawajua wanawake vibaka kweli huyu le mbululaz
 
Pole sana na maumivu ya kuachwa mkuu...jipe muda na moyo utamsahau kabisa na kuendelea na maisha yako salama salimini
 
Umri wako tafadhari ....................
We ni wa mkoa gani .................
Huyu ni mwanamke wa ngapi kumvua pichu ...........
Mwisho mchunguze huyo mwanamke inawezekana umepata kicheche kilichokujua udhaifu wako.
 
Kama unampenda mkeo na kuijali familia yako...unaiheshimu. Ulitakiwa kutambua kuwa kujihusisha nae kimapenzi ni makosa na wala hata usingeuleta huu uzi. Hayaa Pengine ndo yamekufika,ila Ndugu yangu mtaka yote hukosa yote.
 
Back
Top Bottom