Laini ya M-pesa ipo kwa hapa kwa bei poa

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
Habari zenu wana jf kwa wale waislaam nawatakia Ramadhan kareem
Laini ya M-pesa inauzwa bei poa(200000/= tu) price is negotiable .. kwa mawasiliano zaid pm au piga 0718776676 nipo dar
 
hapana mkuu line ya voda m-pesa haizidi laki moja acha kuibia watu
 
ndo nimenunua hiyo ya bei nafuu na ndo bei zake.....tatizo unataka kuibia watu ukiambiwa unapanik....
 
kilo unusu na ninafanya na training jinsi ya kutumia,whatsap 0755 927881
 
Habari zenu wana jf kwa wale waislaam nawatakia Ramadhan kareem
Laini ya M-pesa inauzwa bei poa(200000/= tu) price is negotiable .. kwa mawasiliano zaid pm au piga 0718776676 nipo dar

Tufahamishane, hiyo/ hizo laini kazi yake nini?kuna mnyarugusu anaitaka..Hajui matumizi yake.
 
Back
Top Bottom