laini ninayo, ila nipo darSalam.
Ndugu wana jf, Mimi no mjasiliamali Niko katika wilaya ya Kyela ninahitaji kununua line ya M-PESA kwa yeyote anaye uza.
Hiyo laki 2. Haina salioNinahitaji ya mpesa peke yake ndugu.
Mimi ninayo nipo mwanza kama una jamaa mwanza mwambie tuwasiliane 0686878889Salam.
Ndugu wana jf, Mimi no mjasiliamali Niko katika wilaya ya Kyela ninahitaji kununua line ya M-PESA kwa yeyote anaye uza.
DarUnapatikana wapi?