Laini ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Aseeh lain yangu ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu both smartphone na kitochi

Je, hili tatizo ni kwangu tu au kuna aliepata shida kama yangu?
 
Mkuu Ulipo Tembelea Ofisi Zao Hao Watu
Nina Jamaa Wanne Walipatwa Na Shida Hasa Upande Wa Internet Wana Bundle Lakini Internet Haifanyi Kazi Hata Ukiweka Kwenye Simu Nyingine

Halotel Jamaa Alipokwenda Aliambiwa Walikuwa
Wanaboresha Vifaa Vyao Hivyo Baadhi Ya Watu Wamepatwa Shida, Lakini Akasaidiwa
 
Inabid nikipata muda niende ofisin kwao yan imegoma kabisa kusoma mtandao sio simu ndogo hadi simu kubwa pia dahh
 
Inabid nikipata muda niende ofisin kwao yan imegoma kabisa kusoma mtandao sio simu ndogo hadi simu kubwa pia dahh
Kama unamtindo wa kutoa toa line kwenye simu Basi Kuna uwezekano itakua ime scratch kwenye vile vi gold bars
 
Kama unamtindo wa kutoa toa line kwenye simu Basi Kuna uwezekano itakua ime scratch kwenye vile vi gold bars
Sifanyag kabisa hiyo michezo yan since ninunue simu yangu mwez wa kwanza sijawah itoa yan
 
Aseeh lain yangu ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu both smartphone na kitochi

Je, hili tatizo ni kwangu tu au kuna aliepata shida kama yangu?
Yangu iligoma pia kama siku nne zilizopita. Niliwatafuta katika mitandao ya kijamii wakaniambia nifike ofisini. Nilikwenda ofisini nilipowaambia tu laini ilikata network moja kwa moja wakanipa karatasi za kuomba line mpya. Inaonekana ni tatizo wanalijua. Nilipewa line mpya na inafanya kazi sasa.
 
Mimi pia nawapotezea nimeshaenda wakabadilisha ila tatizo limerudi
 
Back
Top Bottom