kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Kwa hiyo ni mkenya...Ana lafudhi/kiswahili cha Kenya
Ndio ni mkenya mkuuKwa hiyo ni mkenya...
Kama ni mkenya sawa, ila kama ni mtanzania aliyekaa kenya naiman kabisa kuwa kwa kipindi alichorudi Tanzania na mda aliokaa unatosha kabisa kuipoteza lafudhi kidogo ya kigeni na kwa sasa tulitegemea awe akiongea kiswahili kilicho nyooka kabisa... Ila ndio kwanza kiswahili kinazidi kupinda...Ndio ni mkenya mkuu
Anaigiza tuKama ni mkenya sawa, ila kama ni mtanzania aliyekaa kenya naiman kabisa kuwa kwa kipindi alichorudi Tanzania na mda aliokaa unatosha kabisa kuipoteza lafudhi kidogo ya kigeni na kwa sasa tulitegemea awe akiongea kiswahili kilicho nyooka kabisa... Ila ndio kwanza kiswahili kinazidi kupinda...
Na mm shida yangu haiko kwenye uigizaji ipo kwenye utangazaji
Kuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoniKama ni mkenya sawa, ila kama ni mtanzania aliyekaa kenya naiman kabisa kuwa kwa kipindi alichorudi Tanzania na mda aliokaa unatosha kabisa kuipoteza lafudhi kidogo ya kigeni na kwa sasa tulitegemea awe akiongea kiswahili kilicho nyooka kabisa... Ila ndio kwanza kiswahili kinazidi kupinda...
Na mm shida yangu haiko kwenye uigizaji ipo kwenye utangazaji
Mimi mshangao wangu upo hapa kuwa kadri mda unavoenda ndio ile rafudhi nyingine inaongezeka, wakati kiswahili ndio kinachotumika sana na huku ndiko anako ishi na kufanya shughuli zake zote.. Na lugha huwa zina athiriana kwa hiyo nilitegemea hata lafudhi ingebak basi kwa mda alio ishi Tanzania ingepungua kwa kiasi fulani...Kuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoni
Kumbe ni mTz!?Anaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.
Siyo mkenya ni mtz sema amekulia Kenya.Ndio ni mkenya mkuu
Sahihi kabisa dokii ni wa kilosa maeneo fulani panaitwa kimamba. Wako watatu maarufu yeye dokii,tini white muigizaji na msanii rich mavoko wa wcb hao ni ndugu wa damu.Anaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.
Kwel kabisaKuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoni
Exactly.Kijiji cha LudewaAnaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.