Huyu aliacha mziki kama kiba.Nayeye ana rudi kusaka kiti chake kama King Kiba?
Ajipange muziki umevua nguo haumueshimu mtu tu ni msobemsobe mbwa kamla mbwa ni mwendo wa fitina usije ukaanza vilio tu na watu wanajua kutofautisha kwaya na R n' B naona majabali wenzako wako pembeni wanapima kina kwa vijiti maana wadogo zenu hawana adabu,karibu Judith kipimo cha ubora siku hizi ni video uka-shoot SA,video ichezwe Trace,MTV,Sound City and the like.
Zamani hiyo,siku hizi hakuna wimbo unaopaa bila videoUzuri wa jay Dee watu wala huwa hawahitaji video ili wakubali kazi zake. . Trust me, hata asipotoa video atahit sana tu......Jay Dee ni mashine nyingine kwa Tz hakuna