Na Prof J ni Mlinzi wake ama???
Duh! Kama ni hivyo basi hatareeee. Mlinzi ana kitambi cha kiti :A S-fire1:
Na Prof J ni Mlinzi wake ama???
Na Prof J ni Mlinzi wake ama???
hahah lakini ikitokea hali ya hatari utashangaa jinsi atakavyokuwa mwepesi.Duh! Kama ni hivyo basi hatareeee. Mlinzi ana kitambi cha kiti :A S-fire1:
Mashaka ya nini tena?na alivyochakaa ananitia shaka!!
hahah lakini ikitokea hali ya hatari utashangaa jinsi atakavyokuwa mwepesi.
Nalog off
huyo aliyesema J mlinzi ni mtoto wa h.a.r.a.a.a.mWabongo tuna matatizo sana na zarau za kipuuzi,sasa j anaweza akawa mlinzi???? Tuache tabia hizo.
Na Prof J ni Mlinzi wake ama???
Kusaga na ruge hawataki kusoma alama za nyakati....
Na Prof J ni Mlinzi wake ama???