Lady Jay Dee, mwanadada komandoo alazwa Paris Ufaransa

Apone mapema bidada. Kweli siasa si mali kitu, wanasiasa wanakwenda kutibiwa india...mjasiriamali Europe!!
 
aende India huyu................ye haoni kwamba wenzake wanaenda india?
 
kitumbo tu unaenda nje

je magonjwa sugu utatibiwa wapi bi dada.
 
No idea what is going on with this lady to be discussed?
 
Pole sana Juddy,
Mungu akujalie afya njema
 
kitumbo tu unaenda nje

je magonjwa sugu utatibiwa wapi bi dada.

kwani magonjwa mengine yanakuwa sehemu gani za mwili, au tumbo ni kiungo kidogo cha mwili. wanawake hamkosagi wivu ninyi kwa ninyi, let her enjoy, it is her money!!
 
Mimba ya Machozi hutoka kwa Machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…