una hamu ya kukoga matusi sio?Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa kuwepo katika Jf... mleta mada kachambua maneno ya miaka mingi na kayafanya kama ndio mapya wakati Jide na clouds walishasameheana miaka ishapita Tatizo lilibakia Kwa clouds waliposameheana hawakupiga nyimbo za Jide watu wakawauliza clouds vipi clouds wakajibu kuwa Jide hajaruhusu zipigwe watu wakamfuata Jide ajibu Jide akasema sijawahi kataza mimi wamuulize Seven ndio meneja wa Jide Seven akaulizwa akasema pigeni nyimbo zote. . Akamaliza Clouds hawakupiga hadi leo hii... Jide alishangazwa akasema maybe wamesamehe nusu akanyamaza... Mleta mada ni Mpumbavu apuuzwe Kwa kuandika mambo asiyoyajua
pengine hakuna madhara yeyote lakin kuish kwa upendo na amani bila visasi katika jamii ni jambo kubwa na lenye faida kubwa kuliko huo uhasama,Kwani wana madhara gani kwako na kwa jamii zinazowazunguka endapo wataendelea kuishi kama walivyo sasa?
Mungu ni mwepesi wa kusamehe,lakini mpaka mkosaji atakapotambua na kukubali alikosea,Je unamwambia Jide asamehee vipi hao waliomkosea walimfuata kumalizana naye?.Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima
Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda anaemkuchukia.na mukumbuke kuwa msamaha ni kitu tunachokitoa kuwapa wengine ila kiukweli ni zawadi tunayojipa sisi wenyewe.
Na unaposamehe haimaanishi unalazimishwa kusahau kuna ubaya m
wingine hausahauliki lakini haupaswi kumchukia mtu bali unapaswa kuchukia matendo yake.
Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kwa matendo hivyo labda misiba hii imetokea labda iwe sababu ya Judith kumaliza ugomvi wako na clouds kwani tunafahamu ndio iliokulea na tulianza kukufamu kupitia tasnia ya sanaa ukiwa mtangazaji na mwanafamilia wa clouds siku zote tumetamani sana kuona ugomvi wenu unakwisha .
Kuishi kwa amani na mapenzi ni muhimu sana hasa kwa nyakati hizi, dunia leo imekuwa sio tena sehemu salama ya kujivunia kama ilivyokuwa zaman, vita mauaji na uhalifu leo imekuwa sehemu ya maisha yetu, na chanzo haswa ya yote hayo ni chuki visasi visivyo na suluhu. Na visasi mnapoviweka moyoni huwa kama mzigo ambao unaowatafuna taratibu sio yule tu unaemuwekea visasi bali na wewe mwenyewe, naamini chini ya jua hakuna kosa lisilosameheka( dunia tunapita na vyote tunavyoviona ni starehe ya muda mfupi)ndo mana tukaambiwa tuwe wepesi wa kusamehe sio mara saba tu bali saba mara sabini.
View attachment 1043836
Mwanafalsafa mchina Confucius aliwahi kusema:
“before you embark on a journey of revenge, dig two graves”
TUSIISHI KWA VISASI KILA MTU NI MWEMA KULIKO UNAMVYOFIKIRIA
Nawatakia siku njema wana jamii forum wenzangu wote nawapenda sana
Bora anapumua mkuu na hela ya kula na bia anapata Kwa show zake binafsi , huyo dhurumati kaishia shimo la hewa na aibu juu ya kuomba michango .Hili bifu kuna mmoja limempoteza kabisaa! Ajitathimini huko aliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unahubiri wenzio waishi Kwa upendo wakati wewe vimaneno tu vya jamaa vimekutoa povu balaa ,je ungedhulumiwa au kupelekwa mahakamani kama Jide siungeua mtu kabisa, jifunze kusamehe Kwanza kabla hujawahubiria wenziouna hamu ya kukoga matusi sio?
nioeneshe hayo maneno ya miaka mingi, punguza pombe fala wew unalewa hadi mda wa kazi nyambafuu
Safi sanaKwani wana madhara gani kwako na kwa jamii zinazowazunguka endapo wataendelea kuishi kama walivyo sasa?
Nimemshangaa sana mkuuHahahaha unahubiri wenzio waishi Kwa upendo wakati wewe vimaneno tu vya jamaa vimekutoa povu balaa ,je ungedhulumiwa au kupelekwa mahakamani kama Jide siungeua mtu kabisa, jifunze kusamehe Kwanza kabla hujawahubiria wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo jamaa hapo juu alikuwa na hamu ya kutukanwa nimempa anachotaka ndo upendo wenyewe huo.Hahahaha unahubiri wenzio waishi Kwa upendo wakati wewe vimaneno tu vya jamaa vimekutoa povu balaa ,je ungedhulumiwa au kupelekwa mahakamani kama Jide siungeua mtu kabisa, jifunze kusamehe Kwanza kabla hujawahubiria wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app