Mengi ya yanayojiita makabila kule Mara ni KOO tu. Makabila ya kweli yako matatu tu; Wakurya( humo utakuta Wasizaki ambao pia huitwa washashi wa JD, Wazanaki, Wangoreme, Waikoma, Wanata, Wakurya wenyewe, Waikizu, Waisenye, Wakabwa, Wasimbete, Wakiroba,... Kabila la pili ni Wajita( humo utawakuta Waruri, Wakwaya na Wajita wenyewe), kabila la tatu ni Wajaluo ambao nao wana viukoo vidogovidogo vya Wategi, Wasuba?, ...Makundi haya makubwa matatu ndio yanayounda mkoa ule wa watu jasiri sana, msimamo sana, na kuuana na kutwangana kwa sana!
Makundi hayo kama nilivyoyaainisha wanaongea lugha moja bila ya kuhitaji mkalimani. Wanatofautiana matamshi tu. Mila na desturi ni zilezile isipokuwa matambiko tu!asante wildcard kwa kunielewesha hilo maana mimi nilikuwa najua ni makabila....na je katika hilo kundi la wakurya kwa mfano, wanaongea lugha moja wote au kila mmoja ana lugha yake lets say waikoma na wangoreme wanasikilizana?
Zile ni koo bwana. Makabila ni Wakurya, Wajita na Waluo basi.hongera Binti Machozi ni haki yako kutoa ufafanuzi huu....ni kweli Mkoa wa Mara una makabila mengi sana na si koo kama wengi wanavyodhani.
If 2+2 = 4 and 2X 2 = 4
then what is the logic in this statement ?.
same like saying:
2 x 0 =0 Or 0 x 2 = 0
Kulikua na haja gani ya yeye kuukana Ukurya, wakati huo huo anaonyesha kuutetea Ukurya?? kipi kinachofanya "Msizaki" kuwa bora zaidi kuliko Mkurya huko Musoma?..
Brain washed!
Mengi ya yanayojiita makabila kule Mara ni KOO tu. Makabila ya kweli yako matatu tu; Wakurya( humo utakuta Wasizaki ambao pia huitwa washashi wa JD, Wazanaki, Wangoreme, Waikoma, Wanata, Wakurya wenyewe, Waikizu, Waisenye, Wakabwa, Wasimbete, Wakiroba,... Kabila la pili ni Wajita( humo utawakuta Waruri, Wakwaya na Wajita wenyewe), kabila la tatu ni Wajaluo ambao nao wana viukoo vidogovidogo vya Wategi, Wasuba?, ...Makundi haya makubwa matatu ndio yanayounda mkoa ule wa watu jasiri sana, msimamo sana, na kuuana na kutwangana kwa sana!
Baelezee haoooooooooooo!!source: ladyjaydee.blogspot.com
Naona hapa umemmis quote Jide,yeye hakusema kuwa kabila lao ni bora kuliko wakurya,ila amesema yeye sio mkurya kama watu wanavyojua,lakini angekuwa mkurya,angejivunia pia ukurya wake kwakuwa hilo ndio lingekuwa lakwake,na pia amesema sio kila mkurya ni mkorofi,wapo wengi wenye roho za utu!!If 2+2 = 4 and 2X 2 = 4
then what is the logic in this statement ?.
same like saying:
2 x 0 =0 Or 0 x 2 = 0
Kulikua na haja gani ya yeye kuukana Ukurya, wakati huo huo anaonyesha kuutetea Ukurya?? kipi kinachofanya "Msizaki" kuwa bora zaidi kuliko Mkurya huko Musoma?..
Brain washed!
Mengi ya yanayojiita makabila kule Mara ni KOO tu. Makabila ya kweli yako matatu tu; Wakurya( humo utakuta Wasizaki ambao pia huitwa washashi wa JD, Wazanaki, Wangoreme, Waikoma, Wanata, Wakurya wenyewe, Waikizu, Waisenye, Wakabwa, Wasimbete, Wakiroba,... Kabila la pili ni Wajita( humo utawakuta Waruri, Wakwaya na Wajita wenyewe), kabila la tatu ni Wajaluo ambao nao wana viukoo vidogovidogo vya Wategi, Wasuba?, ...Makundi haya makubwa matatu ndio yanayounda mkoa ule wa watu jasiri sana, msimamo sana, na kuuana na kutwangana kwa sana!
If 2+2 = 4 and 2X 2 = 4
then what is the logic in this statement ?.
same like saying:
2 x 0 =0 Or 0 x 2 = 0
Kulikua na haja gani ya yeye kuukana Ukurya, wakati huo huo anaonyesha kuutetea Ukurya?? kipi kinachofanya "Msizaki" kuwa bora zaidi kuliko Mkurya huko Musoma?..
Brain washed!
huyo mama ni mkura 'pure'
Ni sawa na imani ya kuwa wahaya wote wanapenda ngono, wakati tukiangalia picha halisi nani asieshiriki hilo tendo. Au kwakuwa hatuwaoni?