Hongera yake, ninachokipenda kwa huyu dada ni msiri sana, wanawake wote tungekuwa hivi, mambo yangekuwa raha sana, ila wengine kila kukicha kupost relationship status zetu kwa mitandao, yakiwakuta ya kuwakuta aibu unakuwa kwao, nadhani nitaanza kuiga mfano wake sasa, big up jide
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar