Angekuwa kama wema wangemsema now anaolewa pia wanamsema, wanaume wa Jf wanapenda sana kukandia wanawake, wakimaliza hapo ndo wa kwanza kuja kutusumbua vitandan
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar