Ni jana ndoa ya bro wangu ilikufa kabisa.Chanzo cha kifo cha ndoa hiyo ni baada ya bro kumfungulia mkewe biashara na kumkabidhi ili ajipatie mahitaji yake sio mpaka mumewe ampe.Lakini cha ajabu mkewe ameendelea kutoa shida zake kwa bro,bro akimuuliza mwanamke anajibu hela za dukani ni zake mke na yeye kama mume anatakiwa amhudumie tu!!!!Swala hili lilizusha ugomvi ulopelekea ndoa kuvunjika au kufa . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . Kesi za namna hii ni nyingi sana,mwanamke anahitaji haki sawa,sijui hizo haki sawa anazitafsiri namna gani.Unakuta mwanamke ni mwajiriwa au ni mjasiriamali,mshahara au hela ya biashara haionekani nyumbani,akitakiwa wagawane matumizi ya nyumbani anang'aka,anasema hayo ni majukumu ya mume!Kwa nini?Wengine inafikia mpaka gharama za vocha,saloon,nguo wanadai kwa mume wakati wana kipato,ukiwauliza wanasema mi mke wa mtu bana,biashara au kazi yangu ni yangu haihusiani na ndoa/mahusiano yangu!Sasa najiuliza hicho kipato ni cha nini?. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Wanawake wengine wanasaka vidume wenye hela wakati wao wanajimudu sijui ili iweje!Kuna mzee mmoja,mkewe ni mwajiriwa serikalini na yule mzee ni mfanyabiashara,imebidi kutumia ubabe,mkewe akipata mshahara lazima aulete nyumbani na utanunulia mahitaji ya nyumbani mpaka uishe wote siku hiyo!Namkubali sana huyu mzee.Wakati mwingine ni bora wanawake wasiwe na kazi au kipato kwa usalama wa familia.Labda mnaweza kuniambia hizo hela mnatafuta za nini?
Kaka shkamoo. Umetoweka siku hizi
Ngoja kijana ajifunze siasa za marriage game asije akaingia kichwa kichwa akachemsha. Muelimishe banaa, sifa ya mwanaume kuchunwa ( na mke na small house pia)
Ngoja odm aje amalizie.
ebwana n'dai like,...;.;;;huyo bro wako ni mtu ws aina yangu kabsaaa/tyipical meni jana ndoa ya bro wangu ilikufa kabisa.chanzo cha kifo cha ndoa hiyo ni baada ya bro kumfungulia mkewe biashara na kumkabidhi ili ajipatie mahitaji yake sio mpaka mumewe ampe.lakini cha ajabu mkewe ameendelea kutoa shida zake kwa bro,bro akimuuliza mwanamke anajibu hela za dukani ni zake mke na yeye kama mume anatakiwa amhudumie tu!!!!swala hili lilizusha ugomvi ulopelekea ndoa kuvunjika au kufa . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . Kesi za namna hii ni nyingi sana,mwanamke anahitaji haki sawa,sijui hizo haki sawa anazitafsiri namna gani.unakuta mwanamke ni mwajiriwa au ni mjasiriamali,mshahara au hela ya biashara haionekani nyumbani,akitakiwa wagawane matumizi ya nyumbani anang'aka,anasema hayo ni majukumu ya mume!kwa nini?wengine inafikia mpaka gharama za vocha,saloon,nguo wanadai kwa mume wakati wana kipato,ukiwauliza wanasema mi mke wa mtu bana,biashara au kazi yangu ni yangu haihusiani na ndoa/mahusiano yangu!sasa najiuliza hicho kipato ni cha nini?. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .wanawake wengine wanasaka vidume wenye hela wakati wao wanajimudu sijui ili iweje!kuna mzee mmoja,mkewe ni mwajiriwa serikalini na yule mzee ni mfanyabiashara,imebidi kutumia ubabe,mkewe akipata mshahara lazima aulete nyumbani na utanunulia mahitaji ya nyumbani mpaka uishe wote siku hiyo!namkubali sana huyu mzee.wakati mwingine ni bora wanawake wasiwe na kazi au kipato kwa usalama wa familia.labda mnaweza kuniambia hizo hela mnatafuta za nini?
Umeona hommie? Kijana ako very talented asee....!
Kina dada watamkomaje?
mimi naamini ni tabia ya mtu,lakini inapendeza ndani mahitaji mkisaidiana.kuna dada mmoja,kila kitu ndani alikuwa anatoa mume,imagine akienda kumnunulia nguo mtoto wake,risiti anampelekea mume,na mume analipa.na yeye huyo dada hela anazo.walikuja kuachana,alipata shida,analalamika tu sasa.kiufupi ni vizuri mpangiane majukumu,mimi nitafanya hiki na wewe utafanya kile,mnajikuta maisha yanaenda vizuri tu.mambo ya kumfanya mume ATM wako haipendezi.mume kum treat mke sio vibaya,lakini usi take advantage
Kumbe ndoa hua zinavunjika kwa mambo madogo madogo namna hii??kha! Sasa hua watu wanaoana ili iweje?mwanaume hutaki kutimiza majukumu yako kwenye familia halafu uitwe kichwa cha nyumba inahuuuu???wanaume wa siku hizi wanapenda miteremko sana yaani unataka mkeo akichangia laki na wewe uweke laki?aibu gani hiyo!?
By kisukarimimi naamini ni tabia ya mtu,lakini inapendeza ndani mahitaji mkisaidiana.kuna dada mmoja,kila kitu ndani alikuwa anatoa mume,imagine akienda kumnunulia nguo mtoto wake,risiti anampelekea mume,na mume analipa.na yeye huyo dada hela anazo.walikuja kuachana,alipata shida,analalamika tu sasa.kiufupi ni vizuri mpangiane majukumu,mimi nitafanya hiki na wewe utafanya kile,mnajikuta maisha yanaenda vizuri tu.mambo ya kumfanya mume ATM wako haipendezi.mume kum treat mke sio vibaya,lakini usi take advantage
kisukari unakaa wapi nina maongezi na wewe
Na kuna wanawake wangapi huwa wanawapa wakwe zao misaada ya kifedha? me nadhani hapa alichokosea yule mke mtu ni kutomshirikisha mume wake matumizi ya mradi aliopewa. Angeonesha ushirikiano pengine wasingefikia hatua ya kudevorcena inaonesha wazi kuwa mume alimpenda sana mkewe ila mke alitaka kuchuma mali. Jiulize hapa kuna ushirikiano kiasi cha kujenga nyumba kwa pamoja au kufanyiana michezo michafu tu.Bishanga, come to think of it, hivi ni wanaume wangapi wanawatumiaga wakwe zao hela? Tena mwanamke anatumiwa kipato chake na mwanaume na nduguze kuliko ndugu zake wa damu!
Haya umemalizia vyema. Kichwa cha nyumba afu unataka ugawane majukumu pasupasu na mkeo? Nae akirudi saa saba usiku usiulize!
Ni jana ndoa ya bro wangu ilikufa kabisa.Chanzo cha kifo cha ndoa hiyo ni baada ya bro kumfungulia mkewe biashara na kumkabidhi ili ajipatie mahitaji yake sio mpaka mumewe ampe.Lakini cha ajabu mkewe ameendelea kutoa shida zake kwa bro,bro akimuuliza mwanamke anajibu hela za dukani ni zake mke na yeye kama mume anatakiwa amhudumie tu!!!!Swala hili lilizusha ugomvi ulopelekea ndoa kuvunjika au kufa . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . Kesi za namna hii ni nyingi sana,mwanamke anahitaji haki sawa,sijui hizo haki sawa anazitafsiri namna gani.Unakuta mwanamke ni mwajiriwa au ni mjasiriamali,mshahara au hela ya biashara haionekani nyumbani,akitakiwa wagawane matumizi ya nyumbani anang'aka,anasema hayo ni majukumu ya mume!Kwa nini?Wengine inafikia mpaka gharama za vocha,saloon,nguo wanadai kwa mume wakati wana kipato,ukiwauliza wanasema mi mke wa mtu bana,biashara au kazi yangu ni yangu haihusiani na ndoa/mahusiano yangu!Sasa najiuliza hicho kipato ni cha nini?. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Wanawake wengine wanasaka vidume wenye hela wakati wao wanajimudu sijui ili iweje!Kuna mzee mmoja,mkewe ni mwajiriwa serikalini na yule mzee ni mfanyabiashara,imebidi kutumia ubabe,mkewe akipata mshahara lazima aulete nyumbani na utanunulia mahitaji ya nyumbani mpaka uishe wote siku hiyo!Namkubali sana huyu mzee.Wakati mwingine ni bora wanawake wasiwe na kazi au kipato kwa usalama wa familia.Labda mnaweza kuniambia hizo hela mnatafuta za nini?
We unaamini anayezungumziwa ni kaka yake? Chezeya Eiyer wewe? Hebu fuatilia thread zake vizuri mkwe..... afu kumbe una sauti tamu kama ya kasuku eh?ni kweli wababa mnaweza kuvunja ndoa sababu tu mke hachangii matumizi ya ndani? sidhani kama hili lina ukweli. huyo kaka yako hajasema ukweli kilichovunja ndoa yake, chunguzeni vizuri