We kweli mvulana, mwanaume huwa haombi msamaha kirahisi namna hiyo! Haiwezekani! Kwani wao wametutukana mara ngapi? Unadhani jf kila mtu akija na lugha za kichungaji na kipadri itaenda? Itakuwa inaboa sasa, wengine huwa tunafurahia watu wanapobanana mpaka kwenye kona hata kutoana ngeu! Kama ni hivi basi wachaga wataongoza kwa kuombwa msamaha. Maana ni kila siku lazima ukutane na uzi unaowasema. Umeniboa kwa kweli!