"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.
Nimecheka sana hata chakula nilichokuwa nakula nimeshindwa kukimalizaah ah ah umenichekesha sana kuna story moja tulipewa kanisani"Kuna dada mmoja aliolewa na akawa anaishi na mama mkwe wake,yani walikuwa hawaelewani hata kidogo,kila siku mume anaamua kesi kati ya mkewe na mama yake,kiukweli jamaa huyu alichoka na kesi so nyumba nzima ikawa ni mchuno tu,Mke nae akaona mama mkwe anaharibu ndoa yake,basi akapitiwa na shetani hao wakaenda kwa mganga,"Mganga nakaa na mama mkwe wangu kwakweli nimemchoka,anaharibu ndoa yangu sina amani nae kabisa naomba umuuwe.,"Mganga akaampa dawa,"hii weka kwenye chakula kila siku na baada ya miezi 3 mama mkwe wako atakufa lkn ili kuonyesha kwamba ww Uhuusiki na kifo hicho anza kumuheshimu mama mkwe wako,msikilize na kuomba msamaha pale unapokosea,mfulie nguo na kumwandalia chakula sawa eeeh?,"sawa"Mdada huyo akaenda nyumbani akabadilika,akawa msikivu kwa mume na mama mkwe wake,kila siku anamwandalia chakula na kumwekea ile dawa,maisha kwa ujumla yakabadilika akawa anapendana sana na mkwewe,mwisho wa siku akaona dawa inakaribia kuisha that means mama mkwe atakufa na wakati wanapendana sana,akaenda kwa mganga"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.
Mama Mkwe naona you are worth kabisaasante sana Asha D kuna Article moja nimeiona kuhusu mama mkwe vere useful ,sijui iko mitaa gani nikiipata nitawasilisha
ah ah ah umenichekesha sana kuna story moja tulipewa kanisani"Kuna dada mmoja aliolewa na akawa anaishi na mama mkwe wake,yani walikuwa hawaelewani hata kidogo,kila siku mume anaamua kesi kati ya mkewe na mama yake,kiukweli jamaa huyu alichoka na kesi so nyumba nzima ikawa ni mchuno tu,Mke nae akaona mama mkwe anaharibu ndoa yake,basi akapitiwa na shetani hao wakaenda kwa mganga,"Mganga nakaa na mama mkwe wangu kwakweli nimemchoka,anaharibu ndoa yangu sina amani nae kabisa naomba umuuwe.,"Mganga akaampa dawa,"hii weka kwenye chakula kila siku na baada ya miezi 3 mama mkwe wako atakufa lkn ili kuonyesha kwamba ww Uhuusiki na kifo hicho anza kumuheshimu mama mkwe wako,msikilize na kuomba msamaha pale unapokosea,mfulie nguo na kumwandalia chakula sawa eeeh?,"sawa"Mdada huyo akaenda nyumbani akabadilika,akawa msikivu kwa mume na mama mkwe wake,kila siku anamwandalia chakula na kumwekea ile dawa,maisha kwa ujumla yakabadilika akawa anapendana sana na mkwewe,mwisho wa siku akaona dawa inakaribia kuisha that means mama mkwe atakufa na wakati wanapendana sana,akaenda kwa mganga"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.
Nimecheka sana hata chakula nilichokuwa nakula nimeshindwa kukimaliza
Itabidi ujitolee kuninunulia kinginezile chips eeeeeeh?pole sana
"WHAT MAKES AMAZING STORIES EVEN AMAZING"
Unamaana MAFAHALI wawili wanaweza kuishi zizi moja endapo wafundishwa kuheshimiana siyo?
Thanks a lot 4 this useful post nimejifunza coz mi cjaolewa lakn kila cku nasema nikiolewa akileta mambo ya ajabu atanijua kumbe haina maana na ubabe co deal hata kidogo,nimejifunza,b blessed Asha D.
A NICE ONE !!
HAVE YOU REALIZED that how you treat others is exactly how they will treat you? There is a wise Chinese saying: "The person who loves others will also be loved in return." God might be trying to work in another person's life through you.