Ladies..u rejected him when he had nothing..

Hahaa nasbr uzi wako wa kutafta mme ntajitokeza so kwa kuwah kuamka uku...

rap beast
Yani acha tu hata nikiwahi kuamka baadae lazima nitalala tena..........mbona nilishatafuta boyfriend ila kwa sasa sitaki tena
 
Yani acha tu hata nikiwahi kuamka baadae lazima nitalala tena..........mbona nilishatafuta boyfriend ila kwa sasa sitaki tena
Haha Jmn hyo mbna nliikosa asee...

Bas ukihitaj ntapatkana mda wowote ule!!

rap beast
 
Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe mimi ni mwanaume maskini Samahani naomba nikutongoze, utanikatalia au utaninyanyapaa kwani??


Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
kuna mwanamke alinizingua kipinndi sia kitu ila nipo naye saizi na yeye na msomesha namba alipie gharama ya kuisumbua.
 
Mm wangu alinitosa nliposimamishwa kazi, nimepata kazi nyngine ananitafuta mara babby babby wakati nshaweka mwngine ndani mamaee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pile bro more88

May Allah bless Me and You
 

Kama HII?
Pole sana

May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…