Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Tofautisha mambo ya kusoma na mahusianoNdiyo kisingizio chenu hicho sio??Kama ni hivyo basi mbna kila kitu unaweza msingizia Mungu tu,mfano kama ulikuwa husomi unacheza tu darasani alafu mtihani ukafeli basi pia unaweza sema Mungu hakupanga! unatakiwa ukubali makosa uliyofanya we mwenyewe na kuwa responsible sio kila kitu kumsingizia Mungu tu.
Safi sana... mkazie hivyo hivyo wanakera sana hao jamaaMm wangu alinitosa nliposimamishwa kazi, nimepata kazi nyngine ananitafuta mara babby babby wakati nshaweka mwngine ndani mamaee
ndo maana nakuambia kuna second chance ktk maisha,mayb usichana ulimsumbua so saizi anajutia aliyoyafanyashe is single mother now, a lot can happen in 2 years as u can imagine.. kila mtu kapata alichotaka nadhani..
nimekuelewa, sema life goes on.. kuishi ni kujifunzando maana nakuambia kuna second chance ktk maisha,mayb usichana ulimsumbua so saizi anajutia aliyoyafanya
Daah mkuu umenifikirisha sanaaDaaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.
By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.
Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"
Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.
Dah hii maisha hii
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Tofautisha mambo ya kusoma na mahusiano
Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Slama MkuuBora wewe hujanitosa. Nmekumiss mkuu.. Habari za kitambo?
Alianza kwa meseji, nikaona ka utani nikampigia. Nililokutana nalo doooooooh! Sikia hivyo hivyo tu nduguDah ..Alikuambia live ama kwa msg ama alikupigia simu mkuu
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Mpaka hapo achana naye. Hakuna ushauri wa ziadashe is single mother now, a lot can happen in 2 years as u can imagine.. kila mtu kapata alichotaka nadhani..
Mawazo yangu; usirudi nyumanimekuelewa, sema life goes on.. kuishi ni kujifunza
Hivi haujawahi kuona watu wanapendana kiasi kwamba unahisi hapa lazima wataoana na mwisho wa siku unasikia wameachana.......basi ndo ujue Mungu hakupanga wawe woteHuo ni mfano tu nimekupa haya kama unataka mfano wa mapenzi, kwahyo je ni sawa mwanaume akiachana na mke wake sababu ya mchepuko kusema Mungu hakupanga waishi pamoja? ukifanya makosa unatakiwa ukubali na kuomba msamaha sio kila kitu kusingizia Mungu, hyo ndo point yangu!
GreatWhen he was living in that single room in the slum , when all he could afford was to take you for a picnic at a local park yet your best friend kept telling u to be patient with him but you refused because there was this sponsor who was spoiling you with cash who by now left you for another younger girl ..
The hustler you rejected now has his own company, houses and a fleet of cars and he is marrying your best friend who invited you to her wedding and you could not hold your tears when you saw how happy she was with what was originally yours .
Dear ladies,patience pays.
Be with the one that makes u happy but not with the one that gives u everything is God,so stick with that guy and grow with him
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.
By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.
Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"
Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.
Dah hii maisha hii
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Asante mkuu. Nimeshasamehe siku nyingi. Na wa kunipa Faraja yupo mkuu.Dah! Huo ni uuaji! Hayo majibu ni zaidi ya bullets to your heart. Ndio maana watu wengine huishia kuwa players. Pole ndugu na Mola akupe wepesi wakusamehe Ila umpate wa faraja.
Asante mkuu. Nimeshasamehe siku nyingi. Na wa kunipa Faraja yupo mkuu.
Shida ni huyu sasa kagundua Sponsors wamemchoka wameenda kwa "More younger Girls" na wengine wamerudia na kutulia na family zao. Ananisumbua sana kila akipata nafasi. Anajaribu kutafuta angalau moment moja enzi hizo iliyotufurahisha ndio anakumbushia.
Namweleza ya kuwa Nina mtu na Mungu akijalia Logistics zikae safi ntamuoa awe mke wangu. Hanielewi analia lia tu anaomba Japo ajira.
Nikamuuliza, "Je wewe umechanjiwa waume/fiancee za watu au? Maana wakati nikiwa wako peke ako ulinipa shi.t, ukawa na waume za watu. Leo na Mimi mchumba wa mtu ndio unanitaka kwa fujo zote."
Mungu Atusaidie Tu
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
I am not Entertaining Her Kabisa. Simu yangu hana namba kabisa.Anahitaji maombezi na counselling huyo. Ila don't entertain her, anaweza kukuharibia mahusiano yako ya sasa. Hata kama ni ajira labda umpe channels kwingine atafute mwenyewe.
Hongera mkuu, kusamehe sio rahisi ila ukiweza hukufungulia milango mingi ya neema.