Ladies..u rejected him when he had nothing..

Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa anazungumzia watu wako katika mahusiano tayari..
maisha yanampiga anapambana wewe unaona ndio fursa ya kutokomea kwamba utakuaje na masikini ana hustle tu hana lolote japo ni mtafutaji unataka mtu alietayari kua navyo kama magar nyumba na n.k

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Mungu ana nguvu sana hasa ya upendo na huruma...hata huu upendo ambao ni affectional...mambo yote anapenda kutushirikisha binadamu ...mfano uumbaji tunazaa...nk
Na hiyo iko kote ...kama ndoa ni mpango wake means anataka mfanye wote...sasa wewe hata mpango hujatimia wewe huyohuyo kila siku unakula chips funga za kona bar ...tabata ...buguruni...mdada mrembo lakini kamwe huachi kuwatukana na kudharau wanaume na wanawake unaohisi ama sio status yako au umewazidi vitu flani...hizo ni tabia za kishetani...Mungu hachangamani kwa hiyo kama ulikua na mtu decent atamkingia mabalaa mabaya unayoweza muumiza nayo kama ukimwi...uzinzi...nk na kukuacha wewe na mpango wako mpya na contract mpya na shetani ...hauwezi kuwa mpango Wa Mungu ...utaishia tuu kulaumu...You didn't fulfill you duties how gonna He exercise His rights...

germve himself
 
Dah ..Alikuambia live ama kwa msg ama alikupigia simu mkuu

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
You said it all mkuu
...inakera sanaa eti.oh Mungu hajapanga..oh mara shetani alinipitia nyambaff

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Naona mada imetolew kwa kizungu ila comments za kiswahili.

Mkono mtupu haulambwi mazee tukubali hili. Sio kwenye kutongozwa tu hata urafiki kati yetu sisi wanaume huwezi jenga urafiki wa karibu na mtu wa hukooo wewe wa huku.
 
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.

By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.

Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"

Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.

Dah hii maisha hii

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
mkuu,but katika maisha huwa kuna second chance?
 
Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period

Ndiyo kisingizio chenu hicho sio??Kama ni hivyo basi mbna kila kitu unaweza msingizia Mungu tu,mfano kama ulikuwa husomi unacheza tu darasani alafu mtihani ukafeli basi pia unaweza sema Mungu hakupanga! unatakiwa ukubali makosa uliyofanya we mwenyewe na kuwa responsible sio kila kitu kumsingizia Mungu tu.
 
Kila kitu mnamsingizia kama sio Mungu basi shetani
na wakaati watu wanajitakia wenyewe

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Hapana sio tunamsingizia Mungu or shetani but huo ndo ukweli wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…