Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,150
- Thread starter
-
- #61
Duh! Mpaka GPA tena! Mbona balaa! Kwa hiyo mwanamke kilaza kwako hana nafasi, hata kama zile sifa zaingine hapo juu anazo?
Jamani mwacheni bana Cuppy wangu yupo tu amejaa tele kaa maji ya mtungi. She's finer than ever with a killer body to die for. Atarudi tu ku claim mali zake. Just watch.....
kwa hiyo umemtega tu shostito wangu hapa eeh!!
wat if she doesnt!! will you go ahead and date huyo atakayefika kiwango?
Hapa kweli kazi ipo.Lakini hawa ''vilaza'' mara nyingi ndio huwa wana vigezo vyote vilivyobakia,afu sijui kwa nini?Duh! Mpaka GPA tena! Mbona balaa! Kwa hiyo mwanamke kilaza kwako hana nafasi, hata kama zile sifa zaingine hapo juu anazo?
happy belated Birthday!!!! (samahani shem NN huyu sina pa kumpata zaidi ya hapa)Ngabu bado nafasi zipo??? I have all the qualities. Halafu is it a one day date ama???
Ngabu bado nafasi zipo??? I have all the qualities. Halafu is it a one day date ama???
thats all I wanted to hear/read...........basi unaweza kuendelea!!!Eventually, I know, deep down in my heart of hearts, no one will be able to meet the criteria I've put forward except her therefore she'll be the last one standing...and standing tall with her head held up high.
Kilaza kabisa hapana aisee. Sasa mimi na kilaza tutakuwa na mazungumzo gani? Nataka mtu aliye versatile...ninayeweza kuongea naye kuhusu NBA playoffs, FA Premier league, stem cell research, world events, etc.
Ngabu bado nafasi zipo??? I have all the qualities. Halafu is it a one day date ama???
happy birthdaye (belated) (again) kule kwetu siku kama ya leo tunakunywa 'ngera'....si ndio eeh JS
halafu hivi umekosa nn
Labda hizo stem cell research. Lakini Formula One, NBA Playoff na FA Premier League hazihitaji mtu mwenye GPA ya 3.0 and above. Hata mdogo wangu wa darasa la 7 yuko informed kuhusu hizo kuliko hata mimi.
happy belated Birthday!!!! (samahani shem NN huyu sina pa kumpata zaidi ya hapa)
huh! ndo ina maana nishachelewa? mie nna sifa zote hizo ............tatizo langu moja ambalo lilinipelekea kusua sua sifa za Ngabu sizijui. hebu tupe sifa zako kidogo
huh! ndo ina maana nishachelewa? mie nna sifa zote hizo ............tatizo langu moja ambalo lilinipelekea kusua sua sifa za Ngabu sizijui. hebu tupe sifa zako kidogo
basi usi-apply G ni ushauri wangu tu
yaani huyu NN kila siku anajiwekea sifa zake humu wewe hujazishika tu??
Nimesema mtu aliye versatile bana...na ndio nikachomekea NBA na hayo mazagazaga mengine...Mtu unaweza ukawa ulihitimu hata na Summa Cum Laude ya 4.0 lakini hata usijue Bundesliga ni nini....umenipata? Versatility versatility versatility
Halafu sifa zake huyu ni kali sana.amejisemea hakuna anayeweza hapa ila anatutega tu.labda labda GENDER SENSITIVE anaweza.