Ladies never fight with another woman over a man

Ladies never fight with another woman over a man

Wanawake mna mambo kweli. Yaan mkikutana mnalishana upepooooooooo, mkiachana kila mmoja ana lake kichwani. Ayakayeachika mnaamza kumcheka na kumtenga mnaogopa atawachukulia mabwana zenu. Hebu msituletee mambo yenu humu men are the ruler and all women are ruled. A man is a king of the world anafanya anachojisikia haulizwi na mtu. Ukimove on kesho nachukua kifaa kikali kuliko wewe mara 1000
Mkuu calm down, be humble, sit down relax maana unaongea kana kwamba hakuna wanaume wanaoumizwa na wanawake hapa duniani jisemee wewe na nafsi yako ila ukae ukijua kuna wanaume wenzako wengi tu wanalia hadi kamasi na wanatembea kwa magoti kwa sababu ya hao hao wanawake unaowadharau

Siyo wanawake wote wanaoumizwa na siyo wanaume wote wanaoumiza remember in every general rule there is always an exception kwahiyo kama ambavyo unaona kuwa wanaume ni kings kwa sababu ya kuumiza wanawake basi vile vile kuna wanawake ambao ni queens kwa sababu ya kuumiza wanaume and you guys huwa mnaumiaga vibaya hilo tunalijua sana bora hata sisi
 
Hii nadhani iko pande zote hata kwa Wanaume ambao wake zao wanatoka na wanaume wengine
Mwanaume/Mwanamke aliye ndoani anayeamua kucheat yeye sio box au gunia kusema amebebwa bila kujielewa ni mtu ambaye anatoka nyumbani anaoga, ananyoa, anajipodoa kwa ajili ya kwenda kufanya uzinzi
The best way hapa ni wewe ku deal na mtu ambaye umeingia nae mkataba kama unaona haeleweki basi muache
Imeshatokea incidences nyingi Mwanamke anamfumania mumewe na Mwanamke mwingine, yule Mwanamke mwingine anamuuliza yule mwenye Mume, kwani mie nimemwita mumeo ? Yeye si ndio ananisumbua
Au kwa upande wa Mwanaume unamshtukia Mkeo unakutana na jamaa anakwambia mbona mkeo ananiambia mumewe amekufa au wameachana utamjibu nini ??

Kuchepuka ni issue kubwa saana na ikishafikia mnafumaniana bora tu muwachane tu kwa wema kuliko kuanza kutafuta kuuwana bure
Umesema vizuri sana,deal na yule ulieingia naye mkataba...
 
Wanawake mna mambo kweli. Yaan mkikutana mnalishana upepooooooooo, mkiachana kila mmoja ana lake kichwani. Ayakayeachika mnaamza kumcheka na kumtenga mnaogopa atawachukulia mabwana zenu. Hebu msituletee mambo yenu humu men are the ruler and all women are ruled. A man is a king of the world anafanya anachojisikia haulizwi na mtu. Ukimove on kesho nachukua kifaa kikali kuliko wewe mara 1000


Maneno matupu hayo, Wanaume wenye uwezo huo wa kubadilisha mademu kiasi hicho ni wachache sana ni 20% tu ya Wanaume Dunia hii ndo huweza kufanya hivyo na sidhani kama wewe umo kwenye hiyo 20% lkn Wanaume wote waliobakia ni ishu kupata demu na siyo rahisi kama unavyoongea hapa.
 
Nimeshagombaniwa Sana wadada. Wanafika hata 20 Yani nilikuwa nawashangaa Sana.
 
Yes now you know that there is someone else in his life. Be proud of your self to be proud of the people who brought you up with love you and walk away with pride.

Never fight with other woman over a man, that is why when the love has expired, cry by yourself but do not force yourself in a place that you’re not wanted.

That time you are crying for the person who doesn’t love you, there is a man somewhere who is ready to worship the grounds you’re walking on.

No matter what the circumstances, hold your pride high.
Ukisema kwamba u ar not wanted na unajipendekeza kwa mume aliyekuvika pete na kukuoa mbele ya kadamnasi ni kukosa kujiamini.

Relationship is a responsibility, ukifika wakati wako don't just walk away from your responsibilities, ufuate moyo wako na sio maneno ya wenzako waliokosa wanaume wa kuwaoa.

Ndio maana vijana sikuhizi hatufikirii kuoa kabisa sababu ya upupu kama huu mnaoshauriana wanawake.
 
If your children are messing,you do all your best to resque them,why not your husband,the father of your children...?

A husband... whom we are both expected to be busy rescuing our children...na yeye anakuwa sehemu ya tatizo tena....
 
Ukisema kwamba u ar not wanted na unajipendekeza kwa mume aliyekuvika pete na kukuoa mbele ya kadamnasi ni kukosa kujiamini.

Relationship is a responsibility, ukifika wakati wako don't just walk away from your responsibilities, ufuate moyo wako na sio maneno ya wenzako waliokosa wanaume wa kuwaoa.

Ndio maana vijana sikuhizi hatufikirii kuoa kabisa sababu ya upupu kama huu mnaoshauriana wanawake.

Whose responsibility is it? If I may ask....
 
Whose responsibility is it? If I may ask....
Ni jukumu la kila mmoja kutetea na kurudishana katika mahusiano.
Kama wewe mkristo basi utanielewa katika mfano huu..
Hata yesu ilifika point akatak kwenda kinyume na wajibu aliokua nao, God didn't just stay back and walk away.. Mungu alifanya jukum lake kumfariji, kumtia moyo na kumrudisha katika makubaliano yalokuwepo awali.. Hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa..

There ar times watu wanaenda kinyume na wajibu wao katika mahusiano, wakati huo ndio wakati wa wenza wao kuyatetea mahusiano..na sio wakati wa kuwalk away.
 
Tusiaminishane sana kuna mwanaume au mwanamke yupo anasubiri kukutreat vizuri ukiachana na huyu uliye nae,Ni upuuzi kufikiria kuna mtu yupo kwa ajili ya kukufanya uwe na furaha.

Sisemi ubaki ukiteswa nasema mtu huyo Ni wewe mwenyewe.
Hii komenti inastahili Pulitzer..
 
Back
Top Bottom