Ladies never fight with another woman over a man

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Yes now you know that there is someone else in his life. Be proud of your self to be proud of the people who brought you up with love you and walk away with pride.

Never fight with other woman over a man, that is why when the love has expired, cry by yourself but do not force yourself in a place that you’re not wanted.

That time you are crying for the person who doesn’t love you, there is a man somewhere who is ready to worship the grounds you’re walking on.

No matter what the circumstances, hold your pride high.
 
kizuri kula na wenzio,. Dont tell them to walk away! Tell them to be humble when thet are not alone!

hiki kizazi tunaforce ishu za one man for one woman tunasahau the number differs mwisho wa siku linabaki kundi la watu wasio na wenza..
 
Iliwahi nitokea,nilimfumani,kumwuliza akanambia kwani unaamuaje?
Ilikuwa kwake enzi sijawa na huyu baba watoto wa sasa .Nikamwomba glass nikaenda kwenye fridge nikafungua nikamimina saint Anna kwenye glass,hapo akinitazama,nikaketi sofani nikagumia ile wine yote kwenye glass hadi nikamaliza,then nikanyanyuka nikamuaga nikafungua mlango nikaondoka.

Sikuwahi mtafuta tena iwe physically wala kwenye simu,why?swali lake lilionyesha alidhamiria and i was nothing to him.Nikaspend mwaka mzima nikiuguza maumivu ya moyo,haikuwa rahisi ila nilisema siwezi gombana na mwanamke mwenzangu kwaajil ya mwanaume.

Thanks God ,nilishapona yale maumivu,nikaja nikapata mwanaume anayejitambua,anayenipenda ,mchapakazi ambaye it's 5 years tuko pamoja.Blessed with 2 cute baby boys,hahaha maisha haya.
 
Kwa kawaida Wanaume ndo hugombea Wanawake, Wanaume wanaogombewa na Wanawake ni wachache sana Dunia hii kama 20% tu, lkn Wanaume wengine wote waliobakia wana wakati mgumu sana kupata mademu na kuwaweka.

Ushahidi hata hapa JF, wanaolia lia kuachwa na kusumbuliwa na kwamba wanatafuta mchumba wengi ni Wanaume.
 
kizuri kula na wenzio,. Dont tell them to walk away! Tell them to be humble when thet are not alone!

hiki kizazi tunaforce ishu za one man for one woman tunasahau the number differs mwisho wa siku linabaki kundi la watu wasio na wenza..
If they decide to compromise that is not an issue, the issue here is never fight a fellow woman over a man.
 
Uko sahihi kabisa yaani.

Mimi hua sina muda wa kugomba na mwanamke kwa ajili ya mwanaume.

Nihisi jambo nafanya uchunguzi kimya kimya na nikigundua basi ndo mwisho wa mahusiano, maana kama upo na mimi na bado umetamani wa nje ni wazi hunipendi na hujaridhika na mimi so why fighting?
 
binafsi sio henisam kihivyo lkn kuna mademu wawaili niliwah kuwala waliwah kupiga kwa ajili baada ya kujuana kuwa nisha-walisha tango langu,
h kesi ilifika mpaka kwa bi mkubwa lkn hakuichukulia serious kvl pia hapa ndipo nilipojua kuwa akina mama wanapenda watoto wao wa kiume waonyeshe uanaume wao
 
Uko sahihi kabisa yaani.

Mimi hua sina muda wa kugomba na mwanamke kwa ajili ya mwanaume.

Nihisi jambo nafanya uchunguzi kimya kimya na nikigundua basi ndo mwisho wa mahusiano, maana kama upo na mimi na bado umetamani wa nje ni wazi hunipendi na hujaridhika na mimi so why fighting?
Kama amemeza kukudanganya kwa mapenzi inamaana hata kwa pesa na vitu vingine si muaminifu.
 
How sure are you that there is a man who wants to worship the ground just for a woman?
 
Yes now you know that there is someone else in his life. Be proud of your self to be fused up by people who love you and walk away with pride.

Never fight with other woman over a man, that is why when the love has expired, cry by yourself but do not force yourself in a place that you’re not wanted.

That time you are crying for the person who doesn’t love you, there is a man somewhere who is ready to worship the grounds you’re walking on.

No matter what the circumstances, hold your pride high.
Are you single or single mother?
 
Back
Top Bottom