Ladies.....lol

Ladies.....lol

.
Meme%20Creator_1546401866068.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is in his 35-50 yrs....

ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….

watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………

Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol

He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….

Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
Hahaha why do I feel unamuongelea mtu wa humu, Rebecca!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yamekukuta nini??? karibu ,mimi nina mtoto mmoja ila siyo selfish
He is in his 35-50 yrs....

ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….

watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………

Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol

He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….

Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
??
 
POLEMKWA KUVURUGWA SWEET HEART
 
Am from Canada. I don't understand swahili
 
Back
Top Bottom