hahahaaahhahaaaa mkuu umenichekesha,ndio ni single mom,lol..kidding
Punguza umbea. Sio lazima ujue kila kitu.
Shikamoo mpenziPunguza umbea. Sio lazima ujue kila kitu.
Happy New year!
Nashukuru.. Heri na kwenu pia mrembo..Safi tu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] Heri ya mwaka mpya.
sorry brother mi katika watu nnaowaheshimu na kuwakubali ni single mothers kwa kweli wanastahili kuheshimiwa sanaYani mwaka mpya we ushaanza kuwaza wanaume
Single mother mna tabu sana
Hongera 😛😛😛😛Nashukuru.. Heri na kwenu pia mrembo..
Nimekua sina raha mpaka nilipoiona comment yako imekua angalaau [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKirahisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 982618
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] Beef wewe.. Mi nilijua utanipa pole, hongera tena??Hongera [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji2][emoji2][emoji2] Beef wewe.. Mi nilijua utanipa pole, hongera tena??
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha aiseeNi kweli atakua kasha kua frustrated na kunguru za kike haziaminiki, ....ukiwa victim you will regret through out your life "never ever trust a woman in your life"
Sent using Jamii Forums mobile app