Ladies.....lol

Ladies.....lol

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
He is in his 35-50 yrs....

Ana mtoto mmoja angekua na wengi kwa mama mmoja ni sign anapenda watoto

Watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

Ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake.

Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol

He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….

Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
 
He is in his 35-50 yrs....

ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….

watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………

Ni kweli atakua kasha kua frustrated na kunguru za kike haziaminiki, ....ukiwa victim you will regret through out your life "never ever trust a woman in your life"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is in his 35-50 yrs....

ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….

watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………

Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol

He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….

Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
Yani mwaka mpya we ushaanza kuwaza wanaume
Single mother mna tabu sana
 
He is in his 35-50 yrs....

ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….

watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...

ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………

Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol

He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….

Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols

Miss Becky

Naona kuna mtu kasema huko eti wewe ni single mom,ni kweli au anatuzuga?

Naulizia tu just to comfirm,mrugaruga nakaribia kufika bei!

Back
Top Bottom