Duh! Duh! una mikwara mbuzi wewe, we ndio ukiachwa utalia mpaka kunakuchaHahaha lol! Mume wangu anajisifia ana mwanamke kichwa balaa! Namsukuma kwenye maendeleo na yeye ananipa raha duniani. Lol, mbona nilishamuambia akiona simfai apulize kipenga aone vumbi ntakalomuachia? Lol!
Duh! Duh! una mikwara mbuzi wewe, we ndio ukiachwa utalia mpaka kunakucha
eeeeh hata wewe nawe mtundu? ebu wacha hizo bibie
Sio utundu. Ni kuwa mkweli. Its the reality unajua? Hivi unaanzaje ku fake mambo mengine kama haya?
Sio papuchi inawapeleka kwenye small house,yapo mengi tu,matunzo anayopata,kule hakunaga stress kama unazompa,kule analishwa,anaogeshwa,massage,anachunwa,anavuliwa viatu akija mlangni anapokelewa mzgo mabusu kedekede na pole juu huku bibie ananukia kama waridi...hata ufake vp kule ataenda
girl what we do? between me and you?
Dah! umenikumbusha legendary Jah Rule!
kupungua kwa life expectancy...ndo kunamfanya mtu aishi maisha haraka haraka au...kunakufanya ukimbie stress(changamoto)s za maisha..!!? I don't think soLife expectancy yenyewe inapungua daily. Kisa cha kuvumilia upuuzi wa mwanamme? How many lifetimes do I have??
kupungua kwa life expectancy...ndo kunamfanya mtu aishi maisha haraka haraka au...kunakufanya ukimbie stress(changamoto)s za maisha..!!? I don't think so
habari zenu wapendwa,
leo nimekaa na kufiikiria kwa nini kunakuwa na nyumba ndogo,kuna nini huko kinachotuzidi?? jibu nikapata wao ni wanawake km sie wanajua kucheza na jiografia ya MWANAUME................lets break it....mwanaume umpikie umfulie umpe papuchi non stop HAKUACHI ng'o lol.............hizo kazi za nyumbani unaweza kusaidiwa na housegal,ila sex ni wanaume wachache tunaweza kumudu appetite yao...hapo ndipo pa kufake it😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller: najua umechoka just fake ten minutes it will be over LOL...kwanza maumbile yetu hayaonyeshi km wanaume kuwa ume.dindisha ingawa kwa wataalam humdanganyi lol.......................jitahidini jamani msisambaratishe ndoa zenu:confused2::confused2::confused2:
We jiachie tu fully kama mwanamke wa ukweli.
Don't fake babe.
Mimi huwa mama watoto akinisikia tu mita mia nakuja hm maudenda yanammiminika, pichuna anatupa mbali, xtra n.aked nikizama naanza kutafuna tunda la mti wa kati kwa raha zote.
Unahangaika wewe na fake zako
hakika sisi wanaume tunataka faraja , kuheshimiwa, kudhaminiwa na kupewa mapenzi ya kweli . tukikosa ndani ya ndoa hutafuta nje ya ndoa.
Kule kwetu haya tunayaita 'Mambongwa' na hii ni Ngondo kwa kweli.
Lakini mh! Kuna watu humu maneno yao yananifikirisha.
Cc Kongosho,King'asti
Na hakika sisi wanawake hatupendi hayo yote. Tukikosa kwenye ndoa tunafake orgasms na kupretend kuwa happy!
King'asti I do think you miss to grasp some very crucial msg from imaneyNa hakika sisi wanawake hatupendi hayo yote. Tukikosa kwenye ndoa tunafake orgasms na kupretend kuwa happy!
King'asti I do think you miss to grasp some very crucial msg from imaney
Huyu dada hajasema u fake kila siku !Kwa mfano jamaa ka cum na anaonekana kachoka.Je si ni vyema kumpa sifa za uanaume wake na ww u pretend just for that day kuwa ume cum?
Je ktk ndoa yako kila siku mmeo anafanikiwa kukufikisha?Haijawahi kutokea siku ikawa yy kafika ww bila bila au yy bila bila wewe moja?
Hata wanaume sometimes huwa tuna fake hiyo kitu!Siku zingine inatokea una game mbovu na mchumba kafika mapema;unadanganya unapiga kelele unakimbilia bafuni unavua haraka mpira una flash!Maana ukiendelea utamchubua/utachubuka tu na ndiyo point aliyojaribu kutengeneza dada huyu!
Nyie mnao pinga hili;Je ni kweli ktk love cycle zenu hamjawahi kuwa na bad game ukatoka bila bila?
hakika sisi wanaume tunataka faraja , kuheshimiwa, kudhaminiwa na kupewa mapenzi ya kweli . tukikosa ndani ya ndoa hutafuta nje ya ndoa.