Mbona hujanivisha ringi?
Hivi kwa muda wa 6 yrs hata mimba haikuingia? Au hakutegeshewa??? Ladies at times u need to be innovative to achieve your plans. At times kuviziana huwayoa wengi, na kwa taarifa tu wengi wameolewa baada ya kuwasuprise ma sweetie waona vimba haaaaa haaaa chezea kuviziana utakaaje bila mpangilio?
Its not fair at all kwa kweli! You want to spend the rest of your life with somebody and they wanna spend their lives with somebod else too!!!!!!!!
Inauma sanaa after 6 years of stable relationship you go back to ground zero!!!!!!! The dating games!!!!!!!
utaweza kuafford groom-price yangu?na mwaka huu tutawaoa sana.
Ndo maana mabinti wa siku hizi mnanikera sana.
Mwanamume bila kumpimia anakufanya asusa. Kwenye ndoa kwenywe tunapimiwa wakati nyia hata kabla ya ndoa mnaachia kama vile mnagawa maji ya mvua tena kipindi cha masika.
You need to use your brains wajukuu zangu wapendwa!
Yes I love my hubby ,mchochomeo sio wakawaida,he is my best friend,lover,father of my angels,(he is a very wealth men ) I respect him for that .He is my life
Upendo wa kweli hauthibitishwi na vitu vya kuonekana,ili ujue nakupenda sio mpaka nikufungulie mlango wa gari,angalia ninavyokuheshimu,kukuthamini na kukujali.That's all matters!
Ujue kuviziana its begging of some kind! Sasa kuna wale vichwa ngumu ambao we dont want to beg! We want our men to want us not for the kid but for our self as we are! Ofcourse this philosophy is outdated but old habits die hard!
Kumbe na wewe ni mwenzetu wa one 1947??
Siku hizi bila kufanya hayo basi wewe ni mwanamume wa jina tu....
Lazima ubebe maua kwa sana. ufungue mlango wa gari, uvute kiti binti akae na pia utoboe wallet kununua perfumes na mazaga zaga mengine yanayoharibu afya (junk junk) bila kusahau chocolates....
Sie tunaoleta zawadi za mikaa, viroba vya mchele, nyanya, ngogwe, biringanya na hata kapu la live chicken hatuna soko tena.....
That's why I miss my 1947 life.....Wapi wazee/wakubwa wenzangu ...?? The Boss, Asprin, Kaizer, @FP, gfsonwin....
Babu DC!!
Hey Babu DC
Viroba vya mkaa na mchele ni zawadi? Duh
We Eiyer fuata tu haya maelekezo, nami nitatimiza wajibu bila kuongeza maufundi kule ndani, shauri zako.
Mwanamke shurti nibebwe from living room to the bedroom, ni part ya mahaba ujue. LOL
Kwani kama siyo zawadi ni nin?
Mbona huku kwetu wanaume ndio wanaobebwa??
Babu DC!!
Hivi kwani, wanawake wao wako tayari tu kuolewa na kila mwanaume watokaye naye?
Manake taswira ninayoipata hapa ni kana kwamba wanawake wao ni wa kusema ndiyo tu.....
Hi wadau! Huwa napita tu nimeona leo nitupie kidogo. Kwanza nampa pole huyu shost but 2 b honest she has a blunt mind..how do u stay ol those years? Me naamini muoaji unamuona tu..six years is too much to wait dumbly.
2ndly kilichonifanya nidondoke humu ndan leo ni jinsi ninavyoona wa2 ambao ni great thinkers wakiwa na hoja za watu wa mitaani. How many of u believe kupata mimba kunainfluence ndoa bora? Au hapa wadau mnamaanisha bora ndoa? Tubadilike jaman hizi ni dhana potofu za watu wasio na uwezo wa kufikiri. Maisha ya ndoa ni mziki..plus or minus uwe na m2 ambaye hukumzimia kiivo si ndo balaa kabisa..halafu badae malalamishi yaanze ooh ndoa ngumu; kila ki2 kina ugumu wake but vingne 2najitakia na haraka ze2 zisizo na upeo.
I stand 2 b corrected.