Pole sana ndugu kwa kutoa mahela yote haya afu ukapigwa na kitu kizito kwenye FUVU...Waungwana seba akojiwe !!
Naomba kujua huwa mnajisikiaje , nyinyi , ndugu zenu, na wazazi wenu.
Dada unapata mchumba na unaanza kumueleza changamoto zako binafsi , ndg zako na wazazi wako.
Unapewa pesa ya kujikimu , sio kidogo almost 2M per month
Unalipiwa pesa yote ya madeni kwenye vikoba
Unalipiwa mkopo wa Bank Kama 20 M hivi
Unapewa pesa ya maamdalizi ya kuvishwa Pete ya uchumba si chini ya 5M
Unaomba pesa ya kununua gari kama 17M
Unaomba pesa ya kununua kiwanja kama 15 M
Hayo yote ndani ya miezi 4 toka tufahamiane
Hili limekaaje ? Ni penzi au mkakati wa kuondoa umasikini wa ukoo
Kama ni wewe unajisikiaje na ukoo wako?
Ukiolewa unazani utalipia vipi gharama hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajabu iliyoje.Ni wewe ndio umetoa pesa yote hiyo?
Kujikimu = 2mil per month
Mkopo = 20mil
Gari = 17mil
Kiwanja = 15mil
Pete = 5mil
Madeni Vicoba = undisclosed
Maana kama una uwezo wa kumpa mtoto wa mwanaume mwenzio pesa yote hii, ina maana una uwezo wa pesa na sijui kwa nini umeandika uzi wa kulalamika...
Mkuu, katika list yote hio kuna am ambavyo ulifanikiwa kumtimizia?Hayo yote ndani ya miezi 4 toka tufahamiane
Sio mkopo: Kama mwanamume akitoa kwa upendo bila masharti, basi mke anakua kajishindia Bingo ya Mume!!💃💃Ukiolewa unazani utalipia vipi gharama hizi
SanaDar joto limezidi jamani khaaa!
Nimeyaona ulimwenguni mkuuNi wewe ndio umetoa pesa yote hiyo?
Kujikimu = 2mil per month
Mkopo = 20mil
Gari = 17mil
Kiwanja = 15mil
Pete = 5mil
Madeni Vicoba = undisclosed
Maana kama una uwezo wa kumpa mtoto wa mwanaume mwenzio pesa yote hii, ina maana una uwezo wa pesa na sijui kwa nini umeandika uzi wa kulalamika...
Waungwana seba akojiwe !!
Naomba kujua huwa mnajisikiaje , nyinyi , ndugu zenu, na wazazi wenu.
Dada unapata mchumba na unaanza kumueleza changamoto zako binafsi , ndg zako na wazazi wako.
Unapewa pesa ya kujikimu , sio kidogo almost 2M per month
Unalipiwa pesa yote ya madeni kwenye vikoba
Unalipiwa mkopo wa Bank Kama 20 M hivi
Unapewa pesa ya maamdalizi ya kuvishwa Pete ya uchumba si chini ya 5M
Unaomba pesa ya kununua gari kama 17M
Unaomba pesa ya kununua kiwanja kama 15 M
Hayo yote ndani ya miezi 4 toka tufahamiane
Hili limekaaje ? Ni penzi au mkakati wa kuondoa umasikini wa ukoo
Kama ni wewe unajisikiaje na ukoo wako?
Ukiolewa unazani utalipia vipi gharama hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea nn wee lakini?Amka usije ukajikojolea huko!