Nikajua ni lile tangazo la La Chaz pale sinza ... Ladieess and Gentlemen ndani ya La chaaz utapata kukuchomaa ... wali choma [emoji23] makange ya mbuzi ... makange ya maharage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]
Me nyakyusaKwani na wee mchagga mwaya...?
Chura za akina gigy na masogangeWoooooow, naskia mna miili mizuri thana jmn.
Ha ha ha mzee umetisha
AisehNadhani itakuwa ya kichagga mkuu...!
Hahahaaaa ninayo. chura ila sio ya kufanyia matangazoAiseeeee hata sikubali my dear ngoja nije PM unitumie japo kapicha nione figure ya kinyakyusa mwaya. Hahah.